Wadau, si kwamba biashara hazilipi, biashara halali inalipa, la msingi kila mtu atembee na malengo yake na kuyapigania badala ya kuishi kwa kufuatisha wengne.
Wapo wanaotoboa na mtaji mdogo na wapo wanaofeli, wqpo ambao hata ukiwapa milion 100 waanze biashara, watashindwa lakin wapo ambao wanaanza milion 5 na wanafika mbali.
Ukiwa na tamaa na kukopi naisha ya wengne lazima utatumbukia ktk shughuli haramu ambazo ndizo pesa hupatikana kirahisi lakin ni ghari ktk maisha...
Ukimwona mwenzako ametoka out na ametumia milion 1 sku moja usikurupuke, huwez jua kaipataje na inawezekanana anatoka out kwa mwaka mara moja.
Kwa hiyo tembea na ndoto zako, pigania malengo yako
Si lazima uwe tajiri kama mengi, LIVE YOUR LIFE