Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya


Mkuu bei za viwanja Dar es salaam bado kizungumkuti, hata gharama za kununua nyumba maeneo hayo bado hakuna unafuu..
Viwanja vya bei chee utapata Chamazi, Mbagala mpaka Chanika ila Bunju, Ununio, Mbweni, Goba baadhi maeneo ya tegeta na boko mkuu bado bei pasua kichwa..
Bei ya viwanja Dar bado haina uhalisia.
 
Aendelee kuwaadmire tu ila asione ni rahisi kuwa kama wao
 
Low key haiwezekani ukiwa nazo tuu nafsi inawasha unataka wakujue.

Mbona wapo wenye nazo na wanatulia bwana
Shamimu angeweza kutulia tu akaendelea na biashara zake za nguo n.k
 
Naweza kusema hamjui Nambua vizuri sijataka tu kubishana nae.

Shamim na Nambua ni watu wawili tofauti hata kwenye party zao za watoto wa mjini wanazoandaa kundi la kina Shamim huwezi mkuta Nambua.
Wamemtaja na Nambua?? Wamuache jamani yule kakulia kwenye hela na anafight kweli na maduka yake. Hela yake inaonekana kabisa na hana utajiri wa kusema watu tuujue Sababu hana mashauzi kabisa mwenyewe
 

Ugonjwa gani ulikuwa mkuu?
 
Umenifurahisha, alianza pia kutafutia wafuasi madanga ya kizungu, unatuma unamtumia US $ anakufungulia account match.com

Kwakweli marehemu Jumanne Kimambi utakumbukwa daima kwa kumleta duniani Mange.
 
Umenifurahisha, alianza pia kutafutia wafuasi madanga ya kizungu, unatuma unamtumia US $ anakufungulia account match.com

Kwakweli marehemu Jumanne Kimambi utakumbukwa daima kwa kumleta duniani Mange.
Kweli yule baba alizaa kwa Mange tu, hapana aisee..
 
Dogo anamiliki coaster na bajaji kama zote hapa town! Zimekula muhuri wa 26#.
Unajiuliza mentor wake wa Da Skendo (konki_masta /Dudubaya/Mamba) anakwama wapi?
Umeona eee acha kabisa huyu dogo sio alipangaga nyumba nzima kwa ajili ya kushushia mzigo. Siku mzigo ukiingia unaingia na misamaki tele zuga eti ni supplier jumba linachafuka acha
 
Hahaaa...wenziwe Walee wanatoboa tu na ndoa zao zinadumu yeye ameachika anabaki kuendeleza chuki!!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Mange hapana kwa kweli hata mashoga zake wako nae kwa step
Hee kumbe bidada Dubai mamaake bado yuko hai?si nasikia yatima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…