Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Katika vitu ninavyomshukuru Magufuli ni hili. Dar Nyumba maeneo hayo zilikuwa bei kubwa sana - kodi ama kununua. Ile haikuwa bei halisia kabisa. Bei ya kiwanja Dar kuzidi London/New York haikuwa halisi kabisa. Bila shaka pesa ya madawa nayo yalichangia. Nadhani kufika 2025 itakuwa imeshuka zaidi.

Mkuu bei za viwanja Dar es salaam bado kizungumkuti, hata gharama za kununua nyumba maeneo hayo bado hakuna unafuu..
Viwanja vya bei chee utapata Chamazi, Mbagala mpaka Chanika ila Bunju, Ununio, Mbweni, Goba baadhi maeneo ya tegeta na boko mkuu bado bei pasua kichwa..
Bei ya viwanja Dar bado haina uhalisia.
 
Kuna kabinti kamoja kakiunga bundle kanaenda kwenye page ya resty_fish_bbq ama salometsyi ama askvin farms mara zanana. Yani ana admire watu wa design hio sana na anawish siku afanye awe kama hao.

Namwambia it took a lot of hard work and committment! Na pia mtaji...usidhani ukiwa na kamilion ka 1 unaweza yafanya yale kisa uliskia alianza na mtaji wa elfu 7,10,20 hahahah! Tulia mafanikio ya mtu yana siri kubwa sana. Dont take it lightly!
Aendelee kuwaadmire tu ila asione ni rahisi kuwa kama wao
 
Low key haiwezekani ukiwa nazo tuu nafsi inawasha unataka wakujue.

Mbona wapo wenye nazo na wanatulia bwana
Shamimu angeweza kutulia tu akaendelea na biashara zake za nguo n.k
 
Naweza kusema hamjui Nambua vizuri sijataka tu kubishana nae.

Shamim na Nambua ni watu wawili tofauti hata kwenye party zao za watoto wa mjini wanazoandaa kundi la kina Shamim huwezi mkuta Nambua.
Wamemtaja na Nambua?? Wamuache jamani yule kakulia kwenye hela na anafight kweli na maduka yake. Hela yake inaonekana kabisa na hana utajiri wa kusema watu tuujue Sababu hana mashauzi kabisa mwenyewe
 
Ya mjini yaone hivo hivo! Wengine ngoja tuendelee kupambana na juhudi za JPM kutuletea train ya mwendokasi! Never mind kwamba hiyo train wengine tunaweza tusiwe na kipato cha kuipanda.

Unajua ujanja na ufisadi wa siku hizi umenikumbusha kitu. Nakumbuka 2007 nikiwa mtaani nimetoka mlimani…. dada mmoja maarufu sana mjini Amina Chifupa wa Mpakanjia akafariki. Story mtaani zikawa nyingi sana (si unajua mtu mashuhuri akifariki conspiracy theories ni nyingi?). Basi one of my close friend tukawa tumepanga chumba wote mtaani...na yeye ndo amemaliza udaktari Muhimbili..siku moja tunapata kitimoto pale miti mirefu………. ndo akaniambia bwana huyu dada mimi nime-deal naye sana tangu Muhimbili mpaka Lugalo. So ugonjwa uliomuondoa ni 'huu'! kiukweli sikuamini. Maana jamaa alikuwa ananishangaa..ninavyoamini story za mtaani kwamba dada kafanyiziwa! Nilikuwa naona kwamba huyu dada asingeweza kuondoka na ugonjwa "huu"

Mjini ukiwa na hela..au cheo..hata ukifanya madudu gani lazima wapo watakaokutetea kwamba wanaokutuhumu wanasumbuliwa na wivu!

Ugonjwa gani ulikuwa mkuu?
 
Na anawapata machizi wenzake wengi tu, kuna wakati alianza kuwafundisha jinsi ya kupata mume CLAAs au MZUNGU , akawaambia acheni kutengeneza TRIANGLE yaani NYUMBANI, KAZINI KANISANI/MSIKITINI NYUMBANI, mkitoka kazini nendeni hotel kubwa agiza hata maji utapata watu class, hameni manzese hamieni masaki hata kwenye banda la uani utakutana na watu claa...basi kuna mmoja akaja kulalamika eti NILIFANYA HIVYO NIKAPATA MZUNGU AMENI..MBA SIKU MOJA TU , akaninyima namba yake nilikosea wapi? Akajibiwa we alikuona MALAYA kwa nini ulimpa MBUNYE siku ya kwanza? Hahhaaaaaaaaaaaa! huyu ndio Mange na ELIMU YAKE, shami na VIBUBU vyake..kila chizi na machizi wake jamani.
Umenifurahisha, alianza pia kutafutia wafuasi madanga ya kizungu, unatuma unamtumia US $ anakufungulia account match.com

Kwakweli marehemu Jumanne Kimambi utakumbukwa daima kwa kumleta duniani Mange.
 
Umenifurahisha, alianza pia kutafutia wafuasi madanga ya kizungu, unatuma unamtumia US $ anakufungulia account match.com

Kwakweli marehemu Jumanne Kimambi utakumbukwa daima kwa kumleta duniani Mange.
Kweli yule baba alizaa kwa Mange tu, hapana aisee..
 
Dogo anamiliki coaster na bajaji kama zote hapa town! Zimekula muhuri wa 26#.
Unajiuliza mentor wake wa Da Skendo (konki_masta /Dudubaya/Mamba) anakwama wapi?
Umeona eee acha kabisa huyu dogo sio alipangaga nyumba nzima kwa ajili ya kushushia mzigo. Siku mzigo ukiingia unaingia na misamaki tele zuga eti ni supplier jumba linachafuka acha
 
Hahaaa...wenziwe Walee wanatoboa tu na ndoa zao zinadumu yeye ameachika anabaki kuendeleza chuki!!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]Mange hapana kwa kweli hata mashoga zake wako nae kwa step
Hee kumbe bidada Dubai mamaake bado yuko hai?si nasikia yatima?
 
Back
Top Bottom