Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Huyu najiulizaga mafanikio yake kayapataje pataje haraka haraka sipati jibu
Dogo anamiliki coaster na bajaji kama zote hapa town! Zimekula muhuri wa 26#.
Unajiuliza mentor wake wa Da Skendo (konki_masta /Dudubaya/Mamba) anakwama wapi?
 
Hahahahahsh nimeishia kucheka tu daaah wanawake wanafundishanaga ujinga sana hahahah
 
Ni kweli mkuu. Lakini mimi naona kadiri siku zinavyoenda kina dada wanazidi kupoteza aibu. Zamani mtu akiitwa malaya au ikijulikana anatembea na wanaume bila mpangilio ilikuwa ni aibu sana. Siku hizi imekuwa kama ndiyo sifa na wadangaji wanajitangaza waziwazi tena wana followers wengi sana kwenye social media.
 
Katika watu ambao sipotezi mda kuwasikiliza ni hao wanaoitwa motivation speakers, ni waongowaongo sana.
Ni kweli. Na kwenye maisha yetu ya kiafrika kuna kanuni moja. Mtu akipata chimbo hatoi siri! Ukiona unaambiwa njoo uonyeshwe njia ya kupata utajiri ujue wewe ndiye unakwenda ''kumwonyesha'' yule aliyekuita.
 
Hela ya halali haijai haraka, too bad itakuwa kuna mtu kawachomea utambi tu. Haiwezekani saa 8 usiku maaskari watimbe home kwako na kuanza kupiga search!
Mkuu mbona wanajulikana muda mrefu! Walikuwa wanawalia timing tu. Halafu katika idara zinazofanya kazi kwa umakini na usiri bila kelele kelele kama wengine ni hiki kitengo cha kupambambana na madawa ya kulevya cha sasa!
 
Ni kweli. Kutembelea na ku-follow watu kama wale hufanya watu kujiona wanyonge na wamechelewa. Maskini wasijue yale yote ni maigizo.
 
Na hizi ndio chuki kubwa walizonazo wasiofanikiwa dhidi ya waliofanikiwa na ndio sababu ya wao kutofanikiwa zaidi.kumchukia na kumuombea mabaya mtu aliefanikiwa hakukupunguzii umaskini wako...vice versa is true...
Mkuu nchgi yenye watu wanaofanikiwa kijanja janja kama nchi yetu chguki kama hizo hazitaisha kamwe! Unajua hakuna kitu kinauma kama mtu kusota kwa kazi za halali halafu unaona mwenzako anakuwa kama amebonyeza vitufe hivi mara paap ni tajiri. Tena utajiri wa kudhuru wengine
 
Kumbe..... Ndo maana hayaishagi
 
Umeongea kichama zaidi
 
Kwa haya ya ngada inatisha na inaogopesha, unaweza kujikuta upo sehemu hufahamu ina madili au hata umebebeshwa kivyovyote. Hawa wadada wakikuona upo na biashara zako unajitahidi kujisukuma, wanakuwa wanapenda kukujua kiundani.
You are very clever! Kama hailekei kuwa ni mtu mwenye moyo wa kukusadia kweli inabidi uwe makini. Vinginevyo uwe unamuamini kabisa lakini huu ushoga wa njiani mh.. Dunia ina kila ujanja wa aina.
 
Ni kweli ziko juu! Ila ukilinganisha na wakati wa Kikwete ni kuwa zimeshuka chini. Nina jamaa nawaowafahamu wanne. Mooja ana nyumba na wengine ni viwanja, Bunju, Kijitonyama na Tegeta. Wakati wa Kikwete walikataa bei za mil 200+ lakini sasa hivi hata mil 160 hawapati mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…