Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Nakumbuka mwaka nadhani 2014 km sikosei nilihudhuria tafrija ya ndoa yao pale Mlimani City, licha ya kuwa ilikuwa ndo ile awamu ya Rais kipenzi cha wengi (JK) lkn mambo waliyofanya mle ndani ni zaidi ya matusi.

Hakukuwa na Zawadi ya in kind, hata hiyo cash ilikuwani Dollar mwanzo mwisho, nadhani wasiotoa zawadi walikuwa kina sie, Majority walikuwa drug dealers nilim-note mmoja wa Morogoro, But kina Kinje walikuwepo pia kwa kifupi hakukuwa na kuchangishana sn nilisikia jamaa alifanya kila kitu mwenyewe.

Walevi walikoma, walafi wa misosi hawatasahau pia.

MC alikuwa Gadner, live band alikuwa Jide wakati Disco ilikuwa chini ya DJ Peter moe, u can imagine how the ceremony was?

Kumbe matusi yoote yale ni issue za kuharibu watoto wa wenzao, Aisee let them go!!!
 
wewe tumesoma ote Morogoro Secondary! Shamim alinizidi darasa 1! HMater alikuwa babu Mananga! Mbabe wa Bios alikuwa Kunambi na Maths Mr. Mkami! Shamim alikuwa darasa 1 na mdogo wa Basila Mwanakuzi akiitwa Nasib! Na wewe huo mwaka wenu mlikuwa na Msanii SQUEEZER!
Upo sahihi kabisa enzi za Mzee Mananga. Huwezi amini mpaka leo Mwl Mkami yupo Moro Sec.
 
Mara ya mwisho mange kuja bongo walikutana na Nsembo mahali, Nsembo akachomoa bastola katishia kumpiga Mange, Mange alikimbia mpaka polisi, akwa yuko mikono salama,, leo Mange akirudi akapata msala atathubutu kukimbilia polisi au ndio atakuwa kajipeleka? Maisha yanazunguka kuliko dunia jamani..
 
Nakumbuka mwaka nadhani 2014 km sikosei nilihudhuria tafrija ya ndoa yao pale Mlimani City, licha ya kuwa ilikuwa ndo ile awamu ya Rais kipenzi cha wengi (JK) lkn mambo waliyofanya mle ndani ni zaidi ya matusi.

Hakukuwa na Zawadi ya in kind, hata hiyo cash ilikuwani Dollar mwanzo mwisho, nadhani wasiotoa zawadi walikuwa kina sie, Majority walikuwa drug dealers nilim-note mmoja wa Morogoro, But kina Kinje walikuwepo pia kwa kifupi hakukuwa na kuchangishana sn nilisikia jamaa alifanya kila kitu mwenyewe.

Walevi walikoma, walafi wa misosi hawatasahau pia.

MC alikuwa Gadner, live band alikuwa Jide wakati Disco ilikuwa chini ya DJ Peter moe, u can imagine how the ceremony was?

Kumbe matusi yoote yale ni issue za kuharibu watoto wa wenzao, Aisee let them go!!!
huyo wa Morogoro sio M**m*o? Au **ft? au **mmy?
 
Hahahaaaaa uchawi upo aiseeee...nashukuru sana nilitamani niyajue haya.
Zamani walikuwa wanapekj kwenye mabegi, baada ya mashine kuja imekuwa ngumu, ila zile mashine hazina uwezo wa kuscan tumbo la binadamu, isitoshe ukishaingia kwenye network hii lazima uwajywe waganga wanaoujuwa uchawi haswa, unaweza kupita airport maafisa usalama wanakuona mzungu wakati ni mweusi tii, unatobowa tu.
 
Mara ya mwisho mange kuja bongo walikutana na Nsembo mahali, Nsembo akachomoa bastola katishia kumpiga Mange, Mange alikimbia mpaka polisi, akwa yuko mikono salama,, leo Mange akirudi akapata msala atathubutu kukimbilia polisi au ndio atakuwa kajipeleka? Maisha yanazunguka kuliko dunia jamani..
Walikutana Dar Free Market. Alimpiga vibao japo dada anabishaga ila alikula tasi tasi za Abdul.
 
Upo sahihi kabisa enzi za Mzee Mananga. Huwezi amini mpaka leo Mwl Mkami yupo Moro Sec.
serious?
mlikiwa class 1 na George (alias Squeezer)? Na alikuwa anaimba na jamaa ake anaitwa Isaac? Mwaka wenu kulikuwa na wakorofi akiwemo Karume!
 
Serious yupo...ndio tulikiwa na George dada yake anaitwa Dataz
 
Ni zaid ya dealer hyu ni drugs king kabs gram mia nne karib nusu kilo hela ndefu sana tena hiyo pure aijaingia mtaani 200 mil ++ dah balaa
Duh hela ndefu,na zile ambazo zipo kwenye mzunguko aisee vijana hawana mbele wala maisha. Wao wanakula maisha mbenzi.
 
Mange hakubali kitu cha kumdhalilisha hata mara moja, ndipo hapo maadui zak wakipata kitu wanamtesa nacho, kama alivyoficha talaka kuja kujulikana ni kweli alichanganyikiwa watu walikula blocku za kutosha.
Na anavyojua kubisha
 
Back
Top Bottom