Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Acha kabisaa.....!!!!tena unakua makini nakumbuka Jack Patrick alishawahi kamatwa na mmewe Abdul na unga pia!Abdul akajificha ndani ya ceiling body!!Pesa za madawa labda ziwe za sponsor sio mume