Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

View attachment 1739389
View attachment 1739390
MFANYABIASHARA ABDU NSEMBO NA MKEWE SHAMIM WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA.

Wafanyabiashara hao walioshtakiwa Baada ya kudaiwa kukutwa na shehena ya dawa za kulevya aina ya Heroin wamehukumiwa Kifungo cha Maisha Jela.

Hukumu hiyo iliyotolewa na Mahakama kuu divisheni ya makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ijulikanayo kama Mahakama ya mafisadi imetoa amri ya kutaifishwa kwa mali za wawili hao Pamoja na kuteketezwa kwa dawa hizo.
Izo dawa za kuteketezwa bado zipo
 
Hapo ponapona yao ni ''Jail Break'' halafu wakimbilie hata huko Somalia!
Hahaha prison break hapo...yaani kama kweli walikuwa na biashara yenyewe hapo una hire tunnel engineers mzeye una escape kama de guzman🤣🤣🤣🤣
 
Hahaha prison break hapo...yaani kama kweli walikuwa na biashara yenyewe hapo una hire tunnel engineers mzeye una escape kama de guzman🤣🤣🤣🤣
watakua hawana hela wale ma mogul wenyewe wangeishatoa mpunga wangeshinda kesi kwasababu kesi yenyewe ilikua nyeupe si unaonaga yale makilo hayajulikanagi mwisho wake
 
watakua hawana hela wale ma mogul wenyewe wangeishatoa mpunga wangeshinda kesi kwasababu kesi yenyewe ilikua nyeupe si unaonaga yale makilo hayajulikanagi mwisho wake
Serikali kwenye issue ya madawaz imajipanga.. unaeza honga ukaishia mawe ndani.. cheni yake ki usalama ni ndefu sana.. Kiasi kwamba wanaogopana
 
Huyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.

Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.

Kweli mwana kulitafuta mwana kulipata. I can imagine mume wa kwanza anawaza nini after haya. Karma is real
 
Back
Top Bottom