MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mbona hakuna kitu hapo mkuuWakuu huyu mtoto ana jicho tamu walahiii, jicho likikuangalia kidogo tu unatoa PIN za Mpesa.
Huyu mtoto amekuwa akinifanya kuhama naye kila kituo anachohamia ili nikimfuata. S asa hivi niko TBC kumfuatilia.
Kwa mtu anayejua kama ameolewa au lah, mwenye namba zake za simu pia napokea.
kwa sababu za kiusalama nitaweka picha tatu tuu.
View attachment 2037433View attachment 2037434View attachment 2037436
Sasa unategemea chura kutoka kwa wapare...Tatizo ni churaless bhaaas
Nashauri huyo mume wake atafutiwe mke mwingine, hafu huyu Shamimu apewe MSAGA SUMUAmeolewa mkuu over
ππππNashauri huyo mume wake atafutiwe mke mwingine, hafu huyu Shamimu apewe MSAGA SUMU
Yeye kasa JICHO lakini siyo machoHayo macho unataka kuyasagia simulator
Wakuu huyu mtoto ana jicho tamu walahiii, jicho likikuangalia kidogo tu unatoa PIN za Mpesa.