MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Wakuu huyu mtoto ana jicho tamu walahiii, jicho likikuangalia kidogo tu unatoa PIN za Mpesa. Huyu mtoto amekuwa akinifanya kuhama naye kila kituo anachohamia ili nikimfuata. S asa hivi niko TBC kumfuatilia.
Kwa mtu anayejua kama ameolewa au lah, mwenye namba zake za simu pia napokea. Kwa sababu za kiusalama nitaweka picha tatu tuu.
Kwa mtu anayejua kama ameolewa au lah, mwenye namba zake za simu pia napokea. Kwa sababu za kiusalama nitaweka picha tatu tuu.