Shamimu Mlacha yala yala hayo macho yako

Shamimu Mlacha yala yala hayo macho yako

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wakuu huyu mtoto ana jicho tamu walahiii, jicho likikuangalia kidogo tu unatoa PIN za Mpesa. Huyu mtoto amekuwa akinifanya kuhama naye kila kituo anachohamia ili nikimfuata. S asa hivi niko TBC kumfuatilia.

Kwa mtu anayejua kama ameolewa au lah, mwenye namba zake za simu pia napokea. Kwa sababu za kiusalama nitaweka picha tatu tuu.

321aaffbc14f9ccd6aeffae10facfee6.jpg
459fb1b63d075f86bfea5d584b81ffae.jpg
shamimumlacha-fd39a73eff8054df2102bc9a37a7bb67_hd.jpg
 
Wakuu huyu mtoto ana jicho tamu walahiii, jicho likikuangalia kidogo tu unatoa PIN za Mpesa.
Huyu mtoto amekuwa akinifanya kuhama naye kila kituo anachohamia ili nikimfuata. S asa hivi niko TBC kumfuatilia.
Kwa mtu anayejua kama ameolewa au lah, mwenye namba zake za simu pia napokea.
kwa sababu za kiusalama nitaweka picha tatu tuu.
View attachment 2037433View attachment 2037434View attachment 2037436


Kweli mpenda chongo huona kengeza.

Wewe huoni huo ulemavu wa macho??🤣🤣
 
Back
Top Bottom