Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Basi na huu wimbo kwny hii video inahuzunisha kweli kweli. Ila akiwa hana make up ni mzuri zaidi hapo kwny reception na hyo make up kawa kama mzee
 
Mkuu unapropose Shamimu angemsaliti mmewe.
Ile siku waliyovamiwa na watu kitengo cha madawa ya kulevya sijuia askari nyumbani na zama zilivyokua alitakiwa asome alama za nyakati. Angeplay victim of circumstances ingeweza kumsaidia. Ila sasa watu wamekuja ukamficha mume kwenye dari, wewe nae biashara yako mjini haieleweki kila siku una vibubu vya milioni lazima wakuunganishie.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi sipendi tabia ya watu kutafuta huruma na kutupa lawama, hii tabia inaonesha how irresponsible people are.... Ukifanya kosa iwe dhambi au jinai jua kuwa kuna hukumu yake siko moja, ikifika pokea kikombe hicho na uachilie roho.
Wale kosa wamefanya, na mbaya au uzuri jamaa amekili kosa. Na adhabu ambayo wamepewa inastahili.
 
Makosa ya dawa za kulevya hayako kwenye plea bargaining. Ila huyu mama angepunguziwa adhabu busara ilitakiwa itumike hapa angalau akalee watoto wale jamani. Waswahili walisema tamaa mbele mauti nyuma

Angeanza yeye kutumia busara kutoua nguvu ya taifa kwa kuuza ngada.

Kama yeye alishindwa kutumia busara, kwanini Jamhuri itumie busara?

Kimeumana.
 
Dah aisee inasikitisha sana, hasa nikiwaza watoto wanabaki kama yatima.

Kwa vyovyote wapo ndugu na jamaa waliolelewa au kusaidiwa na Abdul Nsembo na Mkewe, chondechonde ni muda sasa wa kurudisha fadhila kwa kuwalea na kuwatunza watoto hadi watakapoweza kujimudu. Nguvu ielekezwe hasa kwenye kuwawezesha watoto kielimu.

Leo sina mood kabisa kwa sababu ya hii hukumu hasa nikiwaza watoto wao, nxt time nitarudi nisimulie vile tulihudhuria Harusi yao i went kama invitee sikujua lolote lkn matukio ya mule yalitosha kuamini jamaa alikuwa na pesa rundo bila kujua chanzo, sikuwa na haja kwa sababu ndo niliwajua pale kwa harusi. Fun thing ni kwamba mwana mmoja wa kiswahili alikuwa anakusanya vinywaji anaweka kwenye gari lake...asbh nadhani alifungua bar maana spacio new model ilijaa mapombe kwenye Buti ya gari yake.
 
....kama ni rahisi hivyo kwa upande wa ngada, kila dada atazaa watoto

then ata push ngada kama kawa na kula bata, maana anajua akidakwa atatumia kigezo cha kua 'nna watoto nahitaji kuwalea, naomba adhabu ipungue'

mahakama sio wajinga kiasi icho
Ni rahisi hivyo hivyo. Na kama ungesoma kuelewa ungeelewa. Nimekuambia kuna aggravating factors (hizi zinafanya kwanini usipate adhabu nafuu) na mitigating factors (hizi zinafanya kwanini upunguziwe adhabu upate adhabu nafuu) na yote kwa pamoja wataangalia ukomo wa adhabu sheria inasemaje. Mfano kosa la mauaji ya kukusudia adhabu yake ni kunyongwa ukikutwa na hatia haijalishi umetoa mitigating factors zipi adhabu haiwezi kupungua sababu sheria ishasema ni kunyongwa hadi kufa. Kwahiyo na hii kama sheria inasema ni kifungo cha maisha mitigating factors haziwezi kusaidia. Ila katika mazingira mengine ya kesi zinginezo mitigating factors zinasaidia kupunguza adhabu .
 

....izo factors hazi apply kwenye case ya ngada bibie, la sivyo kila mtu angefanya huo mchezo

shamim hastahili punguzo la adhabu, akanyie debe kama wengine tu, kacheza mechi zake, now kapewa matokeo kulingana na alivyocheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…