Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Wee jamaaa itabidi tuonane siku zikinitembelea tuenjoy
 
Ndiyo maana wa imani zao husema ukipata kisanga kama hicho, lia weeee mpaka sauti ikukauke[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] kisha futa machozi kunywa na maji, kisha anza upya utaona MUNGU anavyo kubariki[emoji23]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha Mtoto wa kiume kuwa unamuonea wivu mmpanaji mwenzio ni umama ndio shida ya kuishi kwa shemej toka nje demu ww uone maisha
 
Kama ww mtoto wa kiume haya mambo kawaida tu tena kawaida sana woga wako ndio umasikin wako labda watoto wa mama ndio wanalia lia sema mkewe angeachiwa kiongoz akapambana kininja
Mkewe aachiwe kwanini?
 
Utawalea wewe? Yeye ni tamaa zake za kutaka matajiri zimemponza bila kujali hela za hao matajiri zimetoka wapi.
Hao ndio yatima wa kwanza Tanzania?... watalelewa tu ila sio kwa standards walizozoea...huku tz tuna ule msemo "mtoto wa mwenzio ni wako"...sema sijaelewa kwa nini wawachukulie mpaka nyumba, wangewaachia hata kibanda kimoja
 
Kusamehe ngumu sana, ndugu yangu mmoja zamani alipigwa nusu kufa...alikuwa akipata alosto anatembea kutoka kwao kawe hadi kwetu tabata ili umpe hata buku 2 tu akapone (ukiona anavyotetemeka utampa tu)....na mara nyingi alikuwa anafika usiku mnene watu tumelala kwahiyo anaruka ukuta anaanza kuwagongea madirishani...sasa siku hiyo alikutwa na sungu sungu walipiga sana...cha ajabu sasa alikujaga kufanikiwa kuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…