Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Ayaaaaaa... utafaidaaa dah! Upo zako visiwa vya carebean na watoto kama wamejiumba, na Cigar mdomoni , uko kwenye kipensi cha hawaii na mkononi upo na grace ya scotch whiskey.. mkononi saa moja matata sana ya rolex ina ng'aaa kama juaa la dar es salaam.. watoto wanakurukia rukia tu kama babu yao.. hapo umepiga sun grass moja expenisve matata sanaaa😀😀😀😀
Wee jamaaa itabidi tuonane siku zikinitembelea tuenjoy
 
Ukiona Mungu amekuepusha na kitu fulani we shukuru tu maana huwezi kujua ni nini hasa kingekutokea baadae yaani kwenye kila jambo mtangulize Mwenyezi Mungu yeye ndio anajua hatima ya maisha yako ya sasa na ya baadaye. Nimewahi kulala porini siku tatu bila msosi nakunywa tu maji na maji yenyewe ni yale ambayo wanyama wanayanywa plus ndorobo lakini Mungu ni mkubwa. Ni historia ya ukweli kuhusu mimi hata huyo manzi aliyegeukwa hakuyajua haya kama yangemtokea mwenzie aliyemgeuka kwa Bwana yake.
Ndiyo maana wa imani zao husema ukipata kisanga kama hicho, lia weeee mpaka sauti ikukauke[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] kisha futa machozi kunywa na maji, kisha anza upya utaona MUNGU anavyo kubariki[emoji23]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
mie wala sina kinyongo mkuu....tunaambiwa tumshukuru MUNGU kwa kila jambo......washinde wasishinde.....ila kosa moja walifanya....huyo basha wako ALIKIRI.....kosa kubwa sana.....so tafuta basha mwingine.......mtaa umeamia KEKO.....hakuna wa kukulea.....
Hahaha Mtoto wa kiume kuwa unamuonea wivu mmpanaji mwenzio ni umama ndio shida ya kuishi kwa shemej toka nje demu ww uone maisha
 
Kama ww mtoto wa kiume haya mambo kawaida tu tena kawaida sana woga wako ndio umasikin wako labda watoto wa mama ndio wanalia lia sema mkewe angeachiwa kiongoz akapambana kininja
Mkewe aachiwe kwanini?
 
Utawalea wewe? Yeye ni tamaa zake za kutaka matajiri zimemponza bila kujali hela za hao matajiri zimetoka wapi.
Hao ndio yatima wa kwanza Tanzania?... watalelewa tu ila sio kwa standards walizozoea...huku tz tuna ule msemo "mtoto wa mwenzio ni wako"...sema sijaelewa kwa nini wawachukulie mpaka nyumba, wangewaachia hata kibanda kimoja
 
Watatoka, kuna mambo ya kiufundi mengi wakicheza nayo vizuri wanatoka. Kuna sehemu mwamba alizidisha ugumu wa jambo lake hasa alipo enda ku confess kwa DPP ingawa nayo sio isseu anaweza pindua vile vile . Kufungwa maisha ni mbaya sana.. ni kweli wameumiza sana watoto wa watu, lakini msamaha kwa binadamu ane jutia hutolewa hata na Mungu. Mie nikiwa mmoja wapo kaka yangu alikuwa kama chizi na zilimuua dawa, nilishasamehe.. kutokusamahe haindoi tatizo
Kusamehe ngumu sana, ndugu yangu mmoja zamani alipigwa nusu kufa...alikuwa akipata alosto anatembea kutoka kwao kawe hadi kwetu tabata ili umpe hata buku 2 tu akapone (ukiona anavyotetemeka utampa tu)....na mara nyingi alikuwa anafika usiku mnene watu tumelala kwahiyo anaruka ukuta anaanza kuwagongea madirishani...sasa siku hiyo alikutwa na sungu sungu walipiga sana...cha ajabu sasa alikujaga kufanikiwa kuacha
 
Back
Top Bottom