Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Lakini uyu Shamimu Mwasha hana undugu kweli na liliani Mwasha maana naona kama wanafanana sana na pia sure name zao wote wanatumia Mwasha
 
Huyo Mboni alivyopokonywa alilia balaa, na kufosi juu arudiwe[emoji16], unaona sasa kumbe alikuwa anaepushiwa na jela la maisha, hii inatufundisha ukiona jambo limegoma achana nalo ukilazimisha yatakukuta makubwaa

Hivi ukiongea uwongo unapata faida gani?! Hao watu wawili wote nawajua tena kwa kukaa wote na kupiga story hata wenyewe walishangaa huwi uzushi umetokea wp!!
 
Watoto wa kike wana wazazi wao wengine, labda huyo wa kiume. Hivi Kwani hawana ndugu hadi mashoga kulea watoto?
 
Kwa hiyo hata huko mbele drug dealer mwenye uzoefu kama Carlos akikamatwa na shehena ya madawa atakuwa anadunda tu kitaa anapewa kazi mbadala eeeh???
...I some tens Post yangu uone kama unastahili kuijibu kama ulivyoijibu Mkuu.
 
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Mbona hukwenda kutoa ushahidi. Ingewasaidia sana. Washauri wakate rufaa ukatoe ushahidi. Itakuwa bora kuliko porojo za humu!
 
Duuh nimeona hata hapo mahakamani ana confidence balaa, anasema maamuzi ni ya jaji mmoja, so mambo yatakuwa mazuri mbele, alikuwa anawaambia ndugu zake wakilia...ila baadae na yy akaangua kilio, hataki camera wamuone akajikinga kwenye ukuta[emoji22]
 
Muda kama huu tayari wamevua nguo wako uchi wanakabidhiwa unform za orange
 
Jamani watoto wao, Kheri Shamim angetoka awalee watoto.
Ndio ile mchuma janga hulana wa kwao. Wameleta majanga kwa familia nzima. Hopeful kuna mtu anyeeleweka wa kuwatunza na kuwasimamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…