Lakini kikubwa kilichomponza Shamimu (na kitaendelea kuwaponza wengi wa kikeni nyakati hizi) ni “udada wa mujini!” NT; sio mjini ni Mujini!
She had a dream of a certain life or maybe, she had I thirst of a certain class of life!
Majuto ni Mjukuu by the way!
Lione hili liempty set..eti choice choose wisely[emoji849][emoji849]KWA KWELI EVERTHING IN LIFE NI CHOICE CHOOSE WISELY
Daaah na kibibi nilinunua kabisa
Mwenzako anashindilia kimilion we unatoa mimacho tu[emoji848][emoji848]
Ila aliniinspire vibaya mnoo[emoji122]
Na kweli mm ni mvivu kufuatilia habar za hawa wadada wa mujini wauza ngada.Hapo “alafu nasikia”...... I ain’t a rumor monger! Sorry Chief!
History ya Shamimu iko wazi sana! Unless you are madly lazy!
Kama kuna makosa ya kiufundi kama unavyosema wanaweza chomoka ila sasa hyo confession ndio itakuwa shida unless wavikane waseme walitoa under coersion. Sasa wanatakiwa wapate mawakili wajanja wanaojua kucheza na sheria.Hawa wanatoka kutokana na mapungufu ya chain of custody ya exhibit s sema tatizo wanakutana na mawakili vilaza.....
Sema kama walikiri kosa na huo ushahidi ukatumika dhidi yao hapo ndio baas tena
We mtoto wa mjini code zote za chocho lazima uwe nazo .[emoji1]Hii code nilipata mapema sana dah....
Ova
Hivi uwezekano wa kuvikana upo mkuu?Jama kuna makosa ya kiufundi kama unavyosema wanaweza chomoka ila sasa hyo confession ndio itakuwa shida unless wavikane waseme walitoa under cohesion. Sasa wanatakiwa wapate mawakili wajanja wanaojua kucheza na sheria.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hawa wanatoka kutokana na mapungufu ya chain of custody ya exhibit s sema tatizo wanakutana na mawakili vilaza.....
Sema kama walikiri kosa na huo ushahidi ukatumika dhidi yao hapo ndio baas tena
Kinondoni na temeke huko wamejaa pushaz kibao wanadundakama imethibitika kabisa pasi na shaka kwamba walikuwa ni pusha,basi hiyo hukumu pengine ni ndogo pia. Hasa ukianza kuwaangalia matejanwanavyo hangaika na drugs adiction.Pushas wanastahili huku kalo.
Lione hili liempty set..eti choice choose wisely[emoji849][emoji849]
Ni kiingereza cha wapi hiki?
Na wewe uonekane umoo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] My ribs
Tena wakaze hivi hivi mpaka iwe shida kuyapata. Au waongeze kidogo iwe kama kwa mwanaume Duterte kule Ufilipino kuwa ukishathibitika ni shaba tu. Haya madawa ni zaidi ya hatari !!!Du! Hio hukumu sio mchezo,hata hivyo athari ya madawa ya kulevya kwa jamii ni kubwa sana,watoto wa watu wanakufa wengine wanakuwa vichaa
Umeongea kweli .Be responsible, si kila makosa ya mwanaume lazima zigo atupiwe mwanamke. Angeweza kuchagua njia nyingine sahihi.
Hizo ni tabia ya kuwa over ambitious, umiliki kila kitu kizuri kuanzia mke, nyumba, magari, umwamba, heshima etc. Ndizo huwapekelea watu kujiingiza katika biashara hizi.
Tabia ya kuwa over ambitious zipo kwa jinsia zote ndio maana kila leo watu hufanya mambo illegal ili wapate pesa nyingi, Shamimu ni mdada wa mjini hasa, alimuacha mume wake wa mwanzo ili aolewe na Abdul, wote walioana wanapenda makubwa kwa njia yoyote ile, here we are.
Sijui kwanini Waislam wanapenda hii biashara,
Utawaonya mpaka utokwe na povu lakini wapi, watakuzodoa tu
Na. Wewe atakupeka jela kwa namna ingine hajazoea kula ugali dagaa[emoji1] Ila kwa Sasa anakula ugali dona na maharage ya wadudu Kama kawa huko jela .Huyu shamim lazima nikamtoroshe gerezani, mtoto mtamu sana huyu kukaa gerezani
Hio logic mbayaKabisa.. Bora mmoja angetoka akalee Watoto.
Watakuwa wamepangaWametaja gari tu ,ina maana nyumba walikuwa hawana?
Hahahah sure tuwaambie Wana waana kula poda wale mmea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]( salamu kwa Kaka Voda milionea)Hahahah kawaida tu
Ila mkuu madawa sooo
Tukaye nayo mbali
Ova