Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Yeah, kwa Sham wangemfikiria, yule ni mama na ana watoto wadogo...

I hope appeal yao italeta nafuu
 
Naombeni picha current za hao watu. Hizo ni za miaka mingi.
 
Naogopa hata kukubalina na jibu[emoji20]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Ila aliwaokota kweli,mnajisikiaje kuona role modal wenu kumbe ni muuza sembe. Nyie ni wa thamani sana kuliko huyo Shamimu. Basi tu binadamu tunaangalia utu wa nje.
Vick we hukupagawa na vibubu vyake?[emoji1787]

Ila seriously, sitamani maisha ya mtu tena asee[emoji848]
 
Mshamba unamjua wewe.. au unasikia sikia tu .. tulia utaona mziki ndio utakoma kutukana watu ovyo ovyo wachawai.. lazima ni prove uchawi wangu kwako, ndio ushike adabu [emoji874]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kichwa chako kimeshakunywa gongo relax
 
That's damn life [emoji1]

They only live once T.O.L.O

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kufurahia?!? = Relevant + Irrelevant!

Mistakes in Life have never been a Justification of anything! Unless proven beyond reasonable doubts !

That’s Real Life!
Wote hukosea ila ku judge wengine as ni wadhambi sana na kufurahia maana kwa hii dunia lolote laweza tokea kwa yoyote hata kufungwa kwa watu kukosea identity tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…