witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Yeah, kwa Sham wangemfikiria, yule ni mama na ana watoto wadogo...Inahuzunisha vijana wadogo kupata kifungo cha maisha huku wakiacha watoto wadogo bila wazazi,pia madawa ya kulevya yana madhara makubwa sana kwa nguvu kazi ya taifa.
Ingependeza mahakama ya mafisadi ipitie upya uhusika wa shamim kwenye huo uuzaji wa madawa naona kama ameingia mkenge kwa mgongo wa mumewe,aachiwe huru akalee watoto.
I hope appeal yao italeta nafuu