Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Inahuzunisha vijana wadogo kupata kifungo cha maisha huku wakiacha watoto wadogo bila wazazi,pia madawa ya kulevya yana madhara makubwa sana kwa nguvu kazi ya taifa.

Ingependeza mahakama ya mafisadi ipitie upya uhusika wa shamim kwenye huo uuzaji wa madawa naona kama ameingia mkenge kwa mgongo wa mumewe,aachiwe huru akalee watoto.
Yeah, kwa Sham wangemfikiria, yule ni mama na ana watoto wadogo...

I hope appeal yao italeta nafuu
 
Ni Mwanadamu pekee ameumbwa na free will. Malaika ni kama weak Artificial Intelligence ambayo inakua assigned kwa task fulani. Lakini Mwanadamu ni kama strong artificial intelligence ambayo hua much bigger kwenye task zake haipo custom assigned to do something.

Nikekujibu??
Naogopa hata kukubalina na jibu[emoji20]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Ila aliwaokota kweli,mnajisikiaje kuona role modal wenu kumbe ni muuza sembe. Nyie ni wa thamani sana kuliko huyo Shamimu. Basi tu binadamu tunaangalia utu wa nje.
Vick we hukupagawa na vibubu vyake?[emoji1787]

Ila seriously, sitamani maisha ya mtu tena asee[emoji848]
 
Mshamba unamjua wewe.. au unasikia sikia tu .. tulia utaona mziki ndio utakoma kutukana watu ovyo ovyo wachawai.. lazima ni prove uchawi wangu kwako, ndio ushike adabu [emoji874]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kichwa chako kimeshakunywa gongo relax
 
Kipindi kinaitwa narco wars kinapatikana national geographic channel kwa dstv.

Wee achana nao hao jamaa party zao ni balaa...sasa wee kilo $50000 umeshauza mzigo wa kilo 300....unashusha warembo wakali tupu yani ratio ya man to woman hapo ni 1:3. Mwaga cocaine, booz, chakula alafu muanze kusasambua mbususu. Acha kabisa mwana.
That's damn life [emoji1]

They only live once T.O.L.O

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kufurahia?!? = Relevant + Irrelevant!

Mistakes in Life have never been a Justification of anything! Unless proven beyond reasonable doubts !

That’s Real Life!
Wote hukosea ila ku judge wengine as ni wadhambi sana na kufurahia maana kwa hii dunia lolote laweza tokea kwa yoyote hata kufungwa kwa watu kukosea identity tu
 
Back
Top Bottom