The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Unajuaje walimminya poumbou akiriTatizo hapa yeye alikiri makosa. Sawa wether it was coerced or otherwise but naamini mtu ambaye kweli ni msafi hawezi kukubali atawaambieni bora mniue lakini sio kukiri jambo ambalo hakufanya.
Njoo nikuoe na wewe mimi mwanaume mshua sana dada!!Yaani aliacha msomi. Jamaa kasoma na sister zangu pale Shycom then akasoma pale UDSM Bcom .Yule kaka alishaoa. Shamimu akaenda kwa wa la saba mtaka shortcut huyu mtu wa magomeni muuza unga. Tena Shamimu atakuwa anajutia sana.
Wewe hebu tulia. Ikute mimi ni dada yako. Heshima mbele ujue.Njoo nikuoe na wewe mimi mwanaume mshua sana dada!!
Yes ni kweli ,hata Elchapo na Escobar ni waislamuHata yule Top, Mbunge wa Kinondoni alitajwa kuwa ndio muingizaji wa powder nchini na wenzake watatu, wote Waislam
Kifupi Uislam hauchukulii kuwa Kuuza au kutumia Heroine n.k ni dhambi wanaita Makurughu kama sigara tu
Yaani wanaipenda hii Biashara kuliko yoyote nyingine.
Wakipeana mimbakwa sababu ni wanandoa basi wapewe chumba kufurahia ndoa huko kwenye makazi yao mapya
Ah we achana na nyege kile kibuyu kikijaa huna ujanjaWee hapo ata mbususu unaiona kama sumu tuu
Mbona wale wachungaji wa kinigeria waliokamatwa haujawataja ? VP kuhusu Yule mtoto wa lecturer na mjomba wake ?Hawa wakipaki magari kuingia misikitini wanaheshimika mpaka Sheikh anawatetemekea kwakuwa wanaingiza Swadaka na Zakat wanatoa
Wanajifanya kuona kitimoto na pombe ndio haramu ila heroine na Cocaine sio
Mijusi hii.
Insta anatumia jina ganiAisee!
Kweli usione watu wanakula bata hujui nyuma ya pazia
Huyu mdada, nilikua namuona insta anakula bata tu, huku akisisitiza kuweka vibubu kumbe hmm kuna lake jambo.
ShamimumwashaInsta anatumia jina gani
Kuna aliyefungwa maisha kwa kukutwa na bangi yenye thamani ya shilingi laki nne tu (400k tshs) za kitanzania!
Kabisa ni stori ya uongo hiyon. Nanukuu ushahidi wa askari toka mahakamani "Tulivyoenda tulimkuta Shamimu mke wa Abdul Nsebo mtuhumiwa tukamuuliza mumewe yuko wapi akawajibu askari ana wiki mbili hayupo nyumbani sababu za ugomvi wao. Askari waliomba kupekua nyumba shamimu akawataka awasachi kwanza kabla hawajapmpekuwa
Baaada ya kumaliza kuwapekuwa askari , askari hao waliingia ndani na moja ya chumba chao waliona vipande vya Gympsum (sealing board) chini vimedondoka! Kuashiria kuna mtu alipanda darini!! Askari hao walipanda darini na kumkosa lakini baadae nyuma ya mlango wa Tank la maji walimuona Abdul Nsebo amejificha....na kumtia Pingu alikutwa na Passport za kusafiria na kiasi cha hela na drugs"okay Kama wamemkuta madawa nayo Abdul kwann shamimu naye hashitakiwe kwa kosa la madawa ?
Kuna muda wa kazi za nje[emoji848][emoji848]sijui watakuwa wanapata walau hata wasaa wa kuonana
Mada hii inawahusu Waislam wawili, Mwanaume na Mwanamke, pia wametajwa Waislam wengine zaidi ya sitaMbona wale wachungaji wa kinigeria waliokamatwa haujawataja ? VP kuhusu Yule mtoto wa lecturer na mjomba wake ?
Well narratedNilichogundua huu uzi umeingiliwa na watumiaji wa hizo madawa wengi wanasapoti uuzwaju wa haya madawa bila kujua athar ambazo wameachan huku mtaani
Kama madawa haya n mazuri basi wangetumia wao wenyewe na kuwapa watoto wao lakn hukuti wakifanya haya wanataka familia za wengne ziangamie kwa kigezo cha kutafuta pesa
HALAFU Kuna hili swala wengi wanadai SHAMIMU alikuwa mtu poa usichojua wauzaji wengi wa hiz mambo hujifanya watu poa wenye huruma Sana na wanatoa misaada mingi had unashangaa siku mtu akikamatwa majiran wote wanakuwa upande wake sababu hakuonesha tabia au viashiria vya uuzaj wa ngada kitaalam tunaita kujivika ngoz ya KONDOO wakat wewe n CHUI
Kwa sisi tuliobahatika kuish maeneo yenye changamoto hizi tunajua uhalisia wa haya mambo na jins vijana wanavyoteseka tembelea SOBER HOUSE waulize waathirika wa madawa watakuambia mtiti wa kuachana na madawa ulivyo mgumu
Msidanganyike na sura upole na misaada wanayotoa hao watu mkadhan kwamba wao n wema hiyo n zuga tu wanawabrain wash ili muamini kuwa n watu salama CHONCHI alienda mbali akawa ananunua magar ya vituo vya polisi na kujaza mafuta magar yao unategemea polisi gan angeweza kumkamata kiurahis kwa network aliyokuwa nayo
Ndio maana mm namkubali Rais wa PHILIPPINES HON DUTERTE yeye n mwendo wa shaba tu hana mzaha wamexico waliiteka Philippines Kama yao kwa usambazaji wa ngada nasisi tulikuwa tunaelekea huko
Kiukwel nilipingana na the late Magufuli kwa mambo mengi ila kwenye hili la ngada nilimuunga mkono kwa asilimia zote namuweomba na madam president naye akomae na biashara hii had kieleweke
Sasa Kama inawahusu waislamu wawili , kwann umewataja wengine ?Mada hii inawahusu Waislam wawili, Mwanaume na Mwanamke, pia wametajwa Waislam wengine zaidi ya sita
Ingewahusu wachungaji wa Nigeria ningewataja, umeelewa kijanaa?
Hivi ni kwelina akikaa sana bila kuona mb oo, bikra inarudi automatikali, baada ya miaka 10 anakua m bichi kama wa form 1 vile
Kwani kukuoa kuna shida gani? Sijasema nataka kukufanya vibaya halafu nikuache bali nataka kukuoa kabisa dada yangu. Changamkia tenda hiyo dada!Wewe hebu tulia. Ikute mimi ni dada yako. Heshima mbele ujue.
Ha hata nje hawatoki?Mfungwa wa maisha hafanyi kazi
Shamimu simshangai kumuacha huyu baba maana hatujui yaliyokuwemo na huwa sishauri kukaa kwenye vitu visivyoekeweka,ila mwanaume darasa la saba hata awe na pesa bado havutiiiYaani aliacha msomi. Jamaa kasoma na sister zangu pale Shycom then akasoma pale UDSM Bcom .Yule kaka alishaoa. Shamimu akaenda kwa wa la saba mtaka shortcut huyu mtu wa magomeni muuza unga. Tena Shamimu atakuwa anajutia sana.
Atasagana sana sasa huko kuna majike yana nyege hayo?!!Daaah Shamim