Kabisa ni stori ya uongo hiyon. Nanukuu ushahidi wa askari toka mahakamani "Tulivyoenda tulimkuta Shamimu mke wa Abdul Nsebo mtuhumiwa tukamuuliza mumewe yuko wapi akawajibu askari ana wiki mbili hayupo nyumbani sababu za ugomvi wao. Askari waliomba kupekua nyumba shamimu akawataka awasachi kwanza kabla hawajapmpekuwa
Baaada ya kumaliza kuwapekuwa askari , askari hao waliingia ndani na moja ya chumba chao waliona vipande vya Gympsum (sealing board) chini vimedondoka! Kuashiria kuna mtu alipanda darini!! Askari hao walipanda darini na kumkosa lakini baadae nyuma ya mlango wa Tank la maji walimuona Abdul Nsebo amejificha....na kumtia Pingu alikutwa na Passport za kusafiria na kiasi cha hela na drugs"okay Kama wamemkuta madawa nayo Abdul kwann shamimu naye hashitakiwe kwa kosa la madawa ?