Ili warudi wakaendelee kuwauzia unga vijana mateja wawe wengi watu tukabwe daily na vijana waendelee kufa ie Ngwair na Langa.Hukumu iliyotolewa ni kali kupita kiasi. Wangepunguziwa kidogo hata kifungo cha miaka 7 na faini. Mawakili wao wasaidie kwa kweli.
Acha kuleta story za kwenye vijiwe vya kahawa....Na Hapo ndio tuna pot of autism a na Wenzetu waliondelea!
Sisi tunapokamata Mdukuzi anayeiba hela kupitia mitandao tunamfunga maisha...
Lakini wenzetu anaweza kuajiriwa jata na Benki husika, kama sio FBI, ili kusaidia katika kupambana na Udukuzi!
Ndio tunapotofautiana!!
He/she seems to be immature.Kwa swali hili tu unaonyesha ukubwa wa akili yako
Unaushahidi mbona hukupeleka mahakamaniInauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
Sasa mtu anajua mumewe muuza ngada kwanini hakureportMakonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
Yani kingpin wa madawa atoke,kipindi anauza alikua hajui anawatoto... Acheni huruma za kinafikiKabisa.. Bora mmoja angetoka akalee Watoto.
Atakuwa mali ya bwana jelaAngekaza tu mzee baba. CCTV camera kitu gani. Hazina sauti na hazitoi detaiz za ulichonacho .. hata kama unga kwa CCTV bado nakukataa labada kama CCTV zinazo scan na ku display details za mzigo ila hizi za kawaida na kukataaa tu. Ligi ingemtoa kwenye kifungo cha maisha.. sasa Shamimu ndio atomb.wi tena hadi afie huko ? au wanatutania
Kumuonea huruma muhujumu uchumi ni unafiki mkubwaAcha roho mbaya hujui ww utaishia wap hayo maneno waachie watoto wa kike kina mange kimambi sisi wanaume safari bado tuombe mwisho mwema mkuu tusifrahie matatizo ya mwanaume mwenzetu
We ulikuepo wakati anawekewa madawa?Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
Aseeekwani upelelezi wa shauri uliwahusu me/ke au m1?
vipi matokeo ya upelelezi?
kumzuia ofisa wa serkali kufanya kazi ni kesi ndogo na sidhani judge hakuliona hilo
af fatilieni.... rufaa zilizotoka kwa majaji ni ngumu kumchomoa mtu
mkiidharau dcea mtaisha bila kuamini
Siku hizi DCEA wanajaribu ondoa loopholes za wao kushindwa kesikwani upelelezi wa shauri uliwahusu me/ke au m1?
vipi matokeo ya upelelezi?
kumzuia ofisa wa serkali kufanya kazi ni kesi ndogo na sidhani judge hakuliona hilo
af fatilieni.... rufaa zilizotoka kwa majaji ni ngumu kumchomoa mtu
mkiidharau dcea mtaisha bila kuamini
Wale wa Kimara nao wasubirie Maisha.Hiko chuma bwana jamaa ana wanyoosha kweli kweli nakumbuka lile action alilo lifanya kule arusha wazee wananpanda milima kama hiece imekamata lami....
Action nyingine alivyo wadaka wale jamaa pale kimara, jamaa walikuwa na mzigo mkubwa na waliujengea min base ila mkali wa kazi aliwanyakua.
Hakika kiongozi ana stahili kongole ...
Hawawezi shindwa sababu kwa sasa wamepewa mbinu na vitendea kazi, ulinzi wa kutosha na mengine mengi.kunawatu wanawadharau dcea niwaàmbie tuu huko hakuna kilaza na hawabaatishi kazi
fact:ukitaka kujua hawajamaa ni noma angalia idadi ya kesi walizopeleka mahakamani na kushinda
Wauza unga kama hawajasingiziwa wao waendelee kubaki gerezani mileleYani kingpin wa madawa atoke,kipindi anauza alikua hajui anawatoto... Acheni huruma za kinafiki
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Sio kubwa wanaharibu vijana.Adhabu kubwa sana hii jamani
Aise hiyo ni old skull kitambooo sanaYaah nimekumbuka mbali sana na mshkaji wake ippy (ipiana )