Hukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
Si ndio bifu lake na mange lilianzia hukoTena nasikia nsembo alikuwa bwana wa shoga ake shamimu (mboni) ndio bibie akaolewa naye kabisa....Kama ni kweli mboni amshukuru Mungu kumuepusha na Shari hii
Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
πππππ.. ndio zamu yenu ya kujilipa malupulupu.. kweli kila mtu hula kwenye kitengo chakeSuala la kutomb.wa tutajua sisi askari wa magereza
....atalea akiwa SegereaIli alee watoto wake
Ukiwa tayari, nishutue tukamtoe mzee baba. TumuoeHuyu shamim lazima nikamtoroshe gerezani, mtoto mtamu sana huyu kukaa gerezani
Inasikitisha kwakweliMungu amlipe Makonda na asimlipe aliyekua anauza unga. Huyo Mungu wa wapi? Shamim na yeye kwanini alimficha mume wake. Wangekua na akili mume angejitokeza mapema mkewe asingehusika kwenye hii kesi. Ona sasa wanafungwa maisha wote. Watoto wanabaki kuteseka. Mashoga watawasaidia wataenda watachoka ukizingatia vitoto ndio kwanza viko primary
...Na Hapo ndio tuna pot of autism a na Wenzetu waliondelea!Watu kama hawa ilipaswa Serikali iwaahidi adhabu kidogo kwa makubaliano ya hawa kuutaja mtandao wao woooote kuanzia huko nje na humu ndani. Kuwatupa ndani maisha bila kuwakamua information za kutosha haitoshi
Watu walionekana wavivu hawajui kutafuta pesaaWakati wanauza ngada hata sisi tulijua kuwa ni biashara yenye pesa ila tuliacha kwa mustakabali wa usalama wetu na raia wengine...
Na watoto wa wengine aliowaharibu na kuwaua kabisa inakuaje?....watoto wake watalelewa tuIli alee watoto wake
Yaan yeye mwenyewe atataka ,mpaka muda huu ana manyege mengiπππππ.. ndio zamu yenu ya kujilipa malupulupu.. kweli kila mtu hula kwenye kitengo chake
Utawalea wewe? Yeye ni tamaa zake za kutaka matajiri zimemponza bila kujali hela za hao matajiri zimetoka wapi.Na watoto wa wengine aliowaharibu na kuwaua kabisa inakuaje?....watoto wake watalelewa tu
Mimi mke wake namuonea huruma... kesi ni ya mwanaume hiyo
ππππ yani sasa hivi hata uki mkumbatiantu, anamwaga mamajii mwaaaa.. ukigusisha ka kichwa hizo kelele zakw sasa .. noma sanaaa.. acha nipambane nije nimtoeYaan yeye mwenyewe atataka ,mpaka muda huu ana manyege mengi
Dahkwa sababu ni wanandoa basi wapewe chumba kufurahia ndoa huko kwenye makazi yao mapya