Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.

Amin
 
Huyo mama masikini kaingizwa mkenge na mumewe!!! Ila hili ni fundisho kwa vijana. Utajiri wa haraka haraka mwisho wake ndiyo huo. Za mwizi arubaini. Hakuna mwisho mzuri kwa mhalifu. Iko siku tu utanaswa!
 
Mungu amlipe Makonda na asimlipe aliyekua anauza unga. Huyo Mungu wa wapi? Shamim na yeye kwanini alimficha mume wake. Wangekua na akili mume angejitokeza mapema mkewe asingehusika kwenye hii kesi. Ona sasa wanafungwa maisha wote. Watoto wanabaki kuteseka. Mashoga watawasaidia wataenda watachoka ukizingatia vitoto ndio kwanza viko primary
Inasikitisha kwakweli

Kingsmann
 
Watu kama hawa ilipaswa Serikali iwaahidi adhabu kidogo kwa makubaliano ya hawa kuutaja mtandao wao woooote kuanzia huko nje na humu ndani. Kuwatupa ndani maisha bila kuwakamua information za kutosha haitoshi
...Na Hapo ndio tuna pot of autism a na Wenzetu waliondelea!
Sisi tunapokamata Mdukuzi anayeiba hela kupitia mitandao tunamfunga maisha...
Lakini wenzetu anaweza kuajiriwa jata na Benki husika, kama sio FBI, ili kusaidia katika kupambana na Udukuzi!
Ndio tunapotofautiana!!
 
Huyo dada si ndo yule alikua motivesheno spika huko Instagram akaanzisha kitu kinaitwa #zezekibubuchallenge akawaambia watu waweke akiba kwenye vibubu ili wale bata Kama yeye? Duh ase kweli dunia hii kupata utajiri wa halali ni mziki mzito , kila tajiri anasiri nyuma ya pazia.

Anyway hata hivyo alishakula sana maisha hapo kabla katembea sana huko London
 
Na watoto wa wengine aliowaharibu na kuwaua kabisa inakuaje?....watoto wake watalelewa tu
Utawalea wewe? Yeye ni tamaa zake za kutaka matajiri zimemponza bila kujali hela za hao matajiri zimetoka wapi.
 
Hizo dawa bado zipo kweli? Hakukuwa na wengine, ni hao wawili tu?
 
Back
Top Bottom