Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Hukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
Sheria iko wazi ukikutwa na hatia ni kifungo cha maisha na mali zako kutaifishwa bila kujali chochote....
Hii inaitwa mama mkanye mwanao!
Hukumu hizi ni kali na zinaogopesha kweli kweli lakini watu hawaachi!