Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Ubaya ubaya tu eeh! Ila Shamimu naenda mtoa.. mzee baba nijiwekea ndani
Hahahaha walite zao kwani halikuwa halijui hilo kuwa ana watoto na hii kazi kuna siku unaweza dakwa? Hamna kapunguza hukumu hapo.

Mzeya unataka kuanzisha prison break...nina namba ya aliyekuwa tunnel engineer wa de guzman hapa...leta tenda hiyo mzee tufanye kazi ya kumkomboa mrembo.
 
....izo factors hazi apply kwenye case ya ngada bibie, la sivyo kila mtu angefanya huo mchezo

shamim hastahili punguzo la adhabu, akanyie debe kama wengine tu, kacheza mechi zake, now kapewa matokeo kulingana na alivyocheza
Haya hakimu mkazi mkuu. Maana naona unasoma kureply na sio kuelewa
 
Makosa ya dawa za kulevya hayako kwenye plea bargaining. Ila huyu mama angepunguziwa adhabu busara ilitakiwa itumike hapa angalau akalee watoto wale jamani. Waswahili walisema tamaa mbele mauti nyuma

Kwa sababu tu ni mmama?
 
Kwahiyo wale madogo waliodakwa juzijuzi hapa nao watapotezwa maisha? So sad vijana tafuteni shughuli nyingine zakufanya.
 
Wale kosa wamefanya, na mbaya au uzuri jamaa amekili kosa. Na adhabu ambayo wamepewa inastahili.
Watu wanasema Shamimu aachwe katika hali ya kawaida ni sawa kusema hivyo, kisheria ni ngumu labda hicho kitumike kumpunguzia walau miaka.

Lakini kabla hajataka kuonewa huruma kwa sababu ana watoto alipaswa kujionea na kuwaonea huruma wanae, angeweza kujiondoa katika maisha ya Abdul, wala asingepoteza pesa sababu angeendelea kutambuliwa kama baby mama na kikombe hiki kwa kiasi fulani angekiepuka na angeendelea kulea wanae.

Wanawake tunapaswa kuwa ahead of time, Leo hii marehemu Ivan angekamatwa kwa makosa ya zamani ya madawa na utapeli, sidhani kama Zari pia angehukumiwa sababu walishaachana kwa maandishi, ni rahisi kujitetea kuwa sikuwa nafahamu aliyokuwa akiyafanya mume wangu.

Anyways.... Shamimu ni mwana kulitafuta, Yeye sa hivi anaenda jela kwa kushirikiana na Mume wakati yule mchepuko mwenye maduka yake "fulani fulani" likiwemo na lile la BigBone sinza Akiendelea kupeta mtaani anaendelea na biashara zake halali na kulea mwanae.

Wanawake tuwe na akili, kama huwezi kumshauri mume aache basi jiachishe, kwa nia njema tu ili uendelee kulea watoto.
 
Haya hakimu mkazi mkuu. Maana naona unasoma kureply na sio kuelewa
huna hoja bidada, uko kumtetea shamim kwakua 'ana watoto' , hata angekua na kijiji , hakuna remorse hapo hakuna msamaha
 
Kama ww mtoto wa kiume haya mambo kawaida tu tena kawaida sana woga wako ndio umasikin wako labda watoto wa mama ndio wanalia lia sema mkewe angeachiwa kiongoz akapambana kininja
 
Nakwambia hivi tunza kweny kumbukumbu yako rufaa wanashinda narudia tena rufaa wanashinda mm ndio naondoka hapa mahakaman ww endelea kupiga punyeto zako
mie wala sina kinyongo mkuu....tunaambiwa tumshukuru MUNGU kwa kila jambo......washinde wasishinde.....ila kosa moja walifanya....huyo basha wako ALIKIRI.....kosa kubwa sana.....so tafuta basha mwingine.......mtaa umeamia KEKO.....hakuna wa kukulea.....
 
Hahahaha walite zao kwani halikuwa halijui hilo kuwa ana watoto na hii kazi kuna siku unaweza dakwa? Hamna kapunguza hukumu hapo.

Mzeya unataka kuanzisha prison break...nina namba ya aliyekuwa tunnel engineer wa de guzman hapa...leta tenda hiyo mzee tufanye kazi ya kumkomboa mrembo.
😀😀😀😀😀 akitolewa anaenda pigwa na upepo wa dubai kwa miezi mitatu, mtoto ajisafi kwa utuli na marashi.. baada ya hapo ni kupelekewa motooo tuuu..
 
Hukumu iliyotolewa ni kali sana. Ningekua Hakimu ningewapunguzia kidogo
Na Watanzania waliokufa ama kuwa machizi kutokana na biashara ya hawa jamaa unawaonaje? Hii adhabu inawastahili kabisa
 
Watu wanasema Shamimu aachwe katika hali ya kawaida ni sawa kusema hivyo, kisheria ni ngumu labda hicho kitumike kumpunguzia walau miaka.

Lakini kabla hajataka kuonewa huruma kwa sababu ana watoto alipaswa kujionea na kuwaonea huruma wanae, angeweza kujiondoa katika maisha ya Abdul, wala asingepoteza pesa sababu angeendelea kutambuliwa kama baby mama na kikombe hiki kwa kiasi fulani angekiepuka na angeendelea kulea wanae.

Wanawake tunapaswa kuwa ahead of time, Leo hii marehemu Ivan angekamatwa kwa makosa ya zamani ya madawa na utapeli, sidhani kama Zari pia angehukumiwa sababu walishaachana kwa maandishi, ni rahisi kujitetea kuwa sikuwa nafahamu aliyokuwa akiyafanya mume wangu.

Anyways.... Shamimu ni mwana kulitafuta, Yeye sa hivi anaenda jela kwa kushirikiana na Mume wakati yule mchepuko mwenye maduka yake "fulani fulani" likiwemo na lile la BigBone sinza Akiendelea kupeta mtaani anaendelea na biashara zake halali na kulea mwanae.

Wanawake tuwe na akili, kama huwezi kumshauri mume aache basi jiachishe, kwa nia njema tu ili uendelee kulea watoto.
Hii point, wakilia Shamimu kuachiwa kwa ajiri ya watoto hapo haiwezekani sana sana atapigwa mvua kadhaa. Hapo kama wanaona Bidada Shamimu hana hatia mahaka zipo wazi wakatw rufaa ngoma iwekwe mezani.

Pili wadada wengi hupotea kwa ajiri ya tamaa na kukosa maono. Na hata kama ana maono pesa hutoboa hayo maono. Mungu afanye moyo uwe mlaini kama itampendeza iki aipoke hali ya ujela jela mapema..
 
😀😀😀😀😀 akitolewa anaenda pigwa na upepo wa dubai kwa miezi mitatu, mtoto ajisafi kwa utuli na marashi.. baada ya hapo ni kupelekewa motooo tuuu..
Ila braza fanya fasta ulete hizo dollar hapa tuanze mkakati maana huyu naona kuna uwezekano wa kujiua huko gerezani. Trust me utasika mrembo amekutwa kajinyonga na khanga.

Hapa **** options mbili mzeya ya kujenga tunnel au kama vipi tutue na helicopter hapo gerezani
 
Back
Top Bottom