Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

Vp mama d wa ukweriiiii

Naona umestuka 😂😂😂

Mpe maneno ya busara kdg nakuaminia hapo

Ova

Nimeshangaa hizo sehemu alizozitaja hadharani.....Mwache apite mrangi

Marko 5:12-13

Wale pepo wakamsihi Yesu, “Turuhusu tukawaingie wale nguruwe.”
Basi Yesu akawaruhusu. Wakamtoka yule mtu wakaenda wakawaingia wale nguruwe na kundi lote la nguruwe wapatao elfu mbili likatimka kasi kwenye mteremko ule, wakazama ziwani, wakafa.​

Marko 5:12-13​

Wale pepo wakamsihi Yesu, “Turuhusu tukawaingie wale nguruwe.”​

Basi Yesu akawaruhusu. Wakamtoka yule mtu wakaenda wakawaingia wale nguruwe na kundi lote la nguruwe wapatao elfu mbili likatimka kasi kwenye mteremko ule, wakazama ziwani, wakafa.​

Amina mama d

Nakukubaligi kwa mabusara😂😂

Shem ana bahati sana kupata mtu kama wewe😜

Ova
 
Nimeshangaa hizo sehemu alizozitaja hadharani.....Mwache apite mrangi

Marko 5:12-13

Wale pepo wakamsihi Yesu, “Turuhusu tukawaingie wale nguruwe.”
Basi Yesu akawaruhusu. Wakamtoka yule mtu wakaenda wakawaingia wale nguruwe na kundi lote la nguruwe wapatao elfu mbili likatimka kasi kwenye mteremko ule, wakazama ziwani, wakafa.​

Hao nguruwe walikuwa ni hog(nguruwe mwitu)?

Kama walikuwa ni wa mtu/watu, mbona hakuna sehemu waliyoandika namna walivyolipwa fidia hao wafugaji?

Maana nguruwe 2000 si mchezo!
 
Mzee wangu aliwah kumuweka kitchen party shamimu na kumkanya kuhusu kujihusisha na biashara hii japokuwa na yeye kiuhalisia kaponzwa na mumewe maana siku aliyokamatwa target ilikuwa ni mumewe ila yeye akahusika kumficha kwenye simtank polisi tafuta tafuta na ww mpk polisi mmoja mnoko aliposhtuka wakasombwa wote.one day atskuwa huru rafk yangu wa utotoni na jiran yetu
 
Walikuwa wanakaa maeneo gani huku Mbezi Beach mkuu?
 
Walikuwa wanakaa mbezi beach Africana..ni jiran yangu wa utotoni kule Morogoro hivyo alizoea sana kwetu na mimi alizoea pia..baba yangu walikuwa vijana wa mtaa wote wanamuita bamdogo na ni mtoto wa mjini siku moja kama utani alikuwa anamshauri shamimu aachane na anachokifanya ikizingatia ukweli kwamba vijana wengi wa mtaan kwetu walikuwa ni drug dealer wazuri tu na south Africa wameiteka wao lakini mzee kwa Shamimu ni kama aliota machale yakamcheza kwamba si ridhki kwake lakini ndio hivyo akawa amechelewa
 
Nilifikiri mtaa wa upendo kuna wengine maeneo hayo walishakamatwa wakafungwa
 
Back
Top Bottom