Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Jela mkombozi ni nyeto ndo maana sabuni Ina thamani kubwa kuleNaiwaza papichu ya huyu dada, itazeeka hadi kuwa makunjokunjo jamani kama utumbo wa bata aliyetoka kumaliza kazi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jela mkombozi ni nyeto ndo maana sabuni Ina thamani kubwa kuleNaiwaza papichu ya huyu dada, itazeeka hadi kuwa makunjokunjo jamani kama utumbo wa bata aliyetoka kumaliza kazi!
Vp mama d wa ukweriiiiiKha!
Mjini kujuana kawaida mzeeKumbe mnajuana eeeh!! Acheni kuuza madawa vijana mtazeekea Gerezani.
Vp mama d wa ukweriiiii
Naona umestuka 😂😂😂
Mpe maneno ya busara kdg nakuaminia hapo
Ova
Amina mama dNimeshangaa hizo sehemu alizozitaja hadharani.....Mwache apite mrangi
Marko 5:12-13
Wale pepo wakamsihi Yesu, “Turuhusu tukawaingie wale nguruwe.”
Basi Yesu akawaruhusu. Wakamtoka yule mtu wakaenda wakawaingia wale nguruwe na kundi lote la nguruwe wapatao elfu mbili likatimka kasi kwenye mteremko ule, wakazama ziwani, wakafa.
Hao nguruwe walikuwa ni hog(nguruwe mwitu)?Nimeshangaa hizo sehemu alizozitaja hadharani.....Mwache apite mrangi
Marko 5:12-13
Wale pepo wakamsihi Yesu, “Turuhusu tukawaingie wale nguruwe.”
Basi Yesu akawaruhusu. Wakamtoka yule mtu wakaenda wakawaingia wale nguruwe na kundi lote la nguruwe wapatao elfu mbili likatimka kasi kwenye mteremko ule, wakazama ziwani, wakafa.
[emoji16][emoji23][emoji23]jamani kaahhNasikia kule hata genye inapotea kabisa
Amina mama d
Nakukubaligi kwa mabusara😂😂
Shem ana bahati sana kupata mtu kama wewe😜
Ova
Walikuwa wanakaa maeneo gani huku Mbezi Beach mkuu?Mzee wangu aliwah kumuweka kitchen party shamimu na kumkanya kuhusu kujihusisha na biashara hii japokuwa na yeye kiuhalisia kaponzwa na mumewe maana siku aliyokamatwa target ilikuwa ni mumewe ila yeye akahusika kumficha kwenye simtank polisi tafuta tafuta na ww mpk polisi mmoja mnoko aliposhtuka wakasombwa wote.one day atskuwa huru rafk yangu wa utotoni na jiran yetu
Walikuwa wanakaa mbezi beach Africana..ni jiran yangu wa utotoni kule Morogoro hivyo alizoea sana kwetu na mimi alizoea pia..baba yangu walikuwa vijana wa mtaa wote wanamuita bamdogo na ni mtoto wa mjini siku moja kama utani alikuwa anamshauri shamimu aachane na anachokifanya ikizingatia ukweli kwamba vijana wengi wa mtaan kwetu walikuwa ni drug dealer wazuri tu na south Africa wameiteka wao lakini mzee kwa Shamimu ni kama aliota machale yakamcheza kwamba si ridhki kwake lakini ndio hivyo akawa amechelewaWalikuwa wanakaa maeneo gani huku Mbezi Beach mkuu?
Nilifikiri mtaa wa upendo kuna wengine maeneo hayo walishakamatwa wakafungwaWalikuwa wanakaa mbezi beach Africana..ni jiran yangu wa utotoni kule Morogoro hivyo alizoea sana kwetu na mimi alizoea pia..baba yangu walikuwa vijana wa mtaa wote wanamuita bamdogo na ni mtoto wa mjini siku moja kama utani alikuwa anamshauri shamimu aachane na anachokifanya ikizingatia ukweli kwamba vijana wengi wa mtaan kwetu walikuwa ni drug dealer wazuri tu na south Africa wameiteka wao lakini mzee kwa Shamimu ni kama aliota machale yakamcheza kwamba si ridhki kwake lakini ndio hivyo akawa amechelewa
ShAMIMu ndio Nani hapa Tanzania?
ili iweje?¿ ikiwezekana wanyongwe kabsaaaaaaaHukumu ni kubwa sana, kwa huyu mke wangempunguzia kidogo.
unachekeshaaaaaaaa weweeeeee...Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
unachekeshaaaaaaaa weweeeeee...