Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Wachaga bado mnaokoteza picha za mahotel na lami kwenye uzi wa shamra shamra za X mas[emoji23][emoji23][emoji23]

Naona majirani hapa washaliamsha dude!! Hizi sasa ndo shamra shamra za X mass. Hapa ni Ruzinga, Missenye, Kagera migombani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hao ndugu zenu kama hawana cha kuwapa tuwasaidie nini? Ndo tunawachangamshia uzi wenu usipotee. Watu hamna shukrani. Tungeuacha huu uzi ungekuwa na picha mbili tu za INRI na ungekuwa umeshakufa. Toeni shukrani kwa nshomile nyie washirikina wa Kibosho
Endelea kuuza nyapu, huu uzi ni kwa ajili ya sisi kuona shamrashamra za ndugu zetu wa moshi sio kutujazia nyumba za wauza nyapu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wote mnaochat nao wako mijini hakuna mchaga anaewahi kwao mapema hiv, atleast leo kidogo watakua wameanza kwenda kule, wengi ni kuanzia tar 23 huko ndio wanaondoka, siku tatu nne wanarudi mijini kuendelea na shughuli zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi picha nazipiga mwenyewe hapa sasa hivi na simu yangu sio za kuokoteza mitandaoni kama za wale washamba wa Mwika.

Nimeamkia hapa Kamachumu kumcheki mzee mmoja nyumbani kwake. Naona mambo ni moto!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…