Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 459
- 1,117
Hivyo Yan.
Msirudie kuanzisha nyuzi za kisenge za kujisifia uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vyote vinausikaje kwenye mada hiiHizi picha nazipiga mwenyewe hapa sasa hivi na simu yangu sio za kuokoteza mitandaoni kama za wale washamba wa Mwika.
Nimeamkia hapa Kamachumu kumcheki mzee mmoja nyumbani kwake. Naona mambo ni moto! View attachment 1298898View attachment 1298899
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kwamba nimekimbia ila nikiendelea kubishana na wewe nitakuwa mpumbavu maana upambavu huambukizwa;
Kwamba wewe hii uliyoposti sio barabara au ni chakula cha huko kwenu.
Mkuu tuendelee tu kusheherekea happy birthday ya Yesu, haya mengine nadhani yanakuza tu chuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo Yan.
Msirudie kuanzisha nyuzi za kisenge za kujisifia uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma kichwa cha mada vizuri halafu jiulize kama huu uzi wa kisenge wa kujisifia uongo unakuhusu..
Yameisha mkuu, endelea kufurahia utamu wa senene huko Nshamba, tunakukaribisha kitochi cha mbege.
...kazaliwa mwokozi... Merry Christmas
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3]Una akili sana. Unazidi hao wanaolia lia humu. Asante kwa pichaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna huruma tunataka picha. Maneno ya nini? Chaliiiii[emoji3][emoji3][emoji3]Kifupi wachagga hawana show off. Wawe unayetaka picha unataka uzifanyie nini? Unataka waweke picha za makasiri yao ili kesho muanze kuwafuatilia? Maana najua kuna wanaotamani hata waenfe kilimanjaro kwa wachaggawakabomoe maghrofa yao kwa chuki zilivyo kubwa.
Wenzio walishaondoka mijini wako kwao wanafurahia maisha hawana hata habari. Maana post inahusu wachagga lakini wale mabingwa wa show off wanarusha picha za makwao. Pole sana kwa sababu huwezi hata punje kushindana nashemeji zangu. I salute them kila eneo.
Kweli maisha magumu jamni,Tatizo we hujielewi na huelewi hata utetezi wako. Huu uzi umefunguliwa na akina nani??
Mngekuwa hampendi show off mngefungua huu uzi wa kazi gani?
Mgekuwa hampendi show off mngekuwa kutwa kucha kujisifia humu na nyuzi za sifa??
Sema tumewapiga counter attack mnatafuta tu huruma sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna huruma tunataka picha. Maneno ya nini? Chaliiiii[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli maisha magumu jamni,
Eti moshi Kuna jam ya bajaji huku aisee,
wakibisha nawawekea picha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
mji mzima nivibajaji tuu vinachomokea huku na kule [emoji85][emoji1][emoji1], hawa matajiri wanapanda bajaji mji mzima!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nendeni Moshi mangiKilimanjaro tu? Kwahiyo sie majirani zenu tuliopo Arusha mnatutenga?
Si nilisikia wanajisifia kuwa wanataka kuanzisha Costa mjini moshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli maisha magumu jamni,
Eti moshi Kuna jam ya bajaji huku aisee,
wakibisha nawawekea picha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
mji mzima nivibajaji tuu vinachomokea huku na kule [emoji85][emoji1][emoji1], hawa matajiri wanapanda bajaji mji mzima!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hice tu zinakimbizwa na bajaji, costa zibebe nani?? [emoji26][emoji26]Si nilisikia wanajisifia kuwa wanataka kuanzisha Costa mjini moshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app