Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Soma kichwa cha mada vizuri halafu jiulize kama huu uzi wa kisenge wa kujisifia uongo unakuhusu..
Yameisha mkuu, endelea kufurahia utamu wa senene huko Nshamba, tunakukaribisha kitochi cha mbege.

...kazaliwa mwokozi... Merry Christmas
Hivyo Yan.

Msirudie kuanzisha nyuzi za kisenge za kujisifia uongo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
IMG_20191221_081614_3.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hakuna haja ya kubisha. Ni uzi wa picha tu. Unajitendesha dhambi mwenyewe kwa kuweka mineno matokeo yake unatukana. We dondoaha picha jinsi unavyisherekea maandalizi ya birthday ya Yesu maliza mchezo. Sasa unalia lia nini kutafuta huruma kwa watu??
sio kwamba nimekimbia ila nikiendelea kubishana na wewe nitakuwa mpumbavu maana upambavu huambukizwa;
Kwamba wewe hii uliyoposti sio barabara au ni chakula cha huko kwenu.

Mkuu tuendelee tu kusheherekea happy birthday ya Yesu, haya mengine nadhani yanakuza tu chuki

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo avatar yako mkuu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Soma kichwa cha mada vizuri halafu jiulize kama huu uzi wa kisenge wa kujisifia uongo unakuhusu..
Yameisha mkuu, endelea kufurahia utamu wa senene huko Nshamba, tunakukaribisha kitochi cha mbege.

...kazaliwa mwokozi... Merry Christmas

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifupi wachagga hawana show off. Wawe unayetaka picha unataka uzifanyie nini? Unataka waweke picha za makasiri yao ili kesho muanze kuwafuatilia? Maana najua kuna wanaotamani hata waenfe kilimanjaro kwa wachagga wakabomoe maghrofa yao kwa chuki zilivyo kubwa.

Wenzio walishaondoka mijini wako kwao wanafurahia maisha hawana hata habari. Maana post inahusu wachagga lakini wale mabingwa wa show off wanarusha picha za makwao. Pole sana kwa sababu huwezi hata punje kushindana nashemeji zangu. I salute them kila eneo.
 
Tatizo we hujielewi na huelewi hata utetezi wako. Huu uzi umefunguliwa na akina nani??

Mngekuwa hampendi show off mngefungua huu uzi wa kazi gani?

Mgekuwa hampendi show off mngekuwa kutwa kucha kujisifia humu na nyuzi za sifa??

Sema tumewapiga counter attack mnatafuta tu huruma sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kifupi wachagga hawana show off. Wawe unayetaka picha unataka uzifanyie nini? Unataka waweke picha za makasiri yao ili kesho muanze kuwafuatilia? Maana najua kuna wanaotamani hata waenfe kilimanjaro kwa wachaggawakabomoe maghrofa yao kwa chuki zilivyo kubwa.

Wenzio walishaondoka mijini wako kwao wanafurahia maisha hawana hata habari. Maana post inahusu wachagga lakini wale mabingwa wa show off wanarusha picha za makwao. Pole sana kwa sababu huwezi hata punje kushindana nashemeji zangu. I salute them kila eneo.
Hakuna huruma tunataka picha. Maneno ya nini? Chaliiiii[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo we hujielewi na huelewi hata utetezi wako. Huu uzi umefunguliwa na akina nani??

Mngekuwa hampendi show off mngefungua huu uzi wa kazi gani?

Mgekuwa hampendi show off mngekuwa kutwa kucha kujisifia humu na nyuzi za sifa??

Sema tumewapiga counter attack mnatafuta tu huruma sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna huruma tunataka picha. Maneno ya nini? Chaliiiii[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli maisha magumu jamni,

Eti moshi Kuna jam ya bajaji huku aisee,

wakibisha nawawekea picha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

mji mzima nivibajaji tuu vinachomokea huku na kule [emoji85][emoji1][emoji1], hawa matajiri wanapanda bajaji mji mzima!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]matajiri wa midomoni. Na ndo maana picha zinakuwa za shida sana
Kweli maisha magumu jamni,

Eti moshi Kuna jam ya bajaji huku aisee,

wakibisha nawawekea picha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

mji mzima nivibajaji tuu vinachomokea huku na kule [emoji85][emoji1][emoji1], hawa matajiri wanapanda bajaji mji mzima!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli maisha magumu jamni,

Eti moshi Kuna jam ya bajaji huku aisee,

wakibisha nawawekea picha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

mji mzima nivibajaji tuu vinachomokea huku na kule [emoji85][emoji1][emoji1], hawa matajiri wanapanda bajaji mji mzima!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Si nilisikia wanajisifia kuwa wanataka kuanzisha Costa mjini moshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si nilisikia wanajisifia kuwa wanataka kuanzisha Costa mjini moshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hice tu zinakimbizwa na bajaji, costa zibebe nani?? [emoji26][emoji26]

nadhani kwa sasa hivi moshi ndio mji unao ongoza kwa kutumia bajaji katikati ya mji!!

Huwezi amini kunafoleni kabisa bajaji hata 50 zimejipanga hizoooo alafu nayo wanasema wana trafic jam [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Watataka na trafick lights hawa za kuongoza bajaji!!! [emoji38][emoji38]

Wakibisha natumapicha [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom