Monchengladbach
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 703
- 514
Mnachekesha,Kwan mji kuwa na bajaji Ni kosa? Mbeya zipo,mwanza zipo,dar zipoSiku hiz wamekuwa wapenda sifa.
Hukisikia watu wa moshi na Arusha wanavyopasifia kwao !! Unaweza jion we si kitu kwao.
Fika sasa uone maajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umaskini upo kagera maana Ni mkoa wa 11 kwa umaskini, kilimanjaro Ni ya 2 kwa wananchi wake kuwa na maisha BoraSisi hatuna maneno na picha za kudownload mitandaoni. Wachaga mjifunze kitu hapa.
Hapa ni Ruzinga, Kiziba, Missenyi. Ndugu zetu wamekodi basi la Frester kuwatoa Dar kuja kula sikukuu na kuwarudisha Dar! Napiga picha kwa kamera yangu mwenyewe[emoji3][emoji3]
Wachaga kelele nyingi mnabebwa na treni kama mizigo. Umaskini mbaya. Kazi kuokoteza vipicha mitandaoniView attachment 1300331View attachment 1300333
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamuwez kuiga kilimanjaro kbsSisi hatuna maneno na picha za kudownload mitandaoni. Wachaga mjifunze kitu hapa.
Hapa ni Ruzinga, Kiziba, Missenyi. Ndugu zetu wamekodi basi la Frester kuwatoa Dar kuja kula sikukuu na kuwarudisha Dar! Napiga picha kwa kamera yangu mwenyewe[emoji3][emoji3]
Wachaga kelele nyingi mnabebwa na treni kama mizigo. Umaskini mbaya. Kazi kuokoteza vipicha mitandaoniView attachment 1300331View attachment 1300333
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Ni muleba-rubya ? Hahaha teknolojia inakuumbuaMkuu unasema barabara ya Rubya haina lami?
Mkuu Sisi sio watu wa porojo kama nyieView attachment 1300335
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzngu yupo vijin uchagani ulikuwa hutaki?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiv akili zako unazielewa?
Cheki eti anajisifia wazungu kuwa vijijini!!!
Mkuu leta picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema eti?[emoji1787][emoji1787] Mie Leo nimeshangaa?? Hizo ndo nyumba nzr vijijin moshi?
Kumbe ndo maana hawataki kupost picha zao.
Mkuu kama uko bk hebu tuma picha tuwatoe ushamba.
Halafu unaskia eti moshi ndan ndan[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
December wanaoenda kwao Ni wachaga,wengine mnaenda watu watano mnasema mmenda?Wanavyojisifiaga hapa kama vile wanaendaga kwao peke Yao December .
Hawajui kuna watu wanatumia akili na hela kwenda kwao.
Mi nikionaga mpaka wanapanda coster za buza na kujazana kwenye kuku kwenye treni huwa nazidi kuwadharau hawa wachaga.. Yaan wanashindwa kukodi mabasi kwenda kwao? Jibu ni kwamba wengi na maskini mno KAZI kumiliki vigenge Tu huko kimara[emoji23][emoji23]
Juzi wametangaza kuongeza route za ndege Dar Bukoba kutoka mbili hadi tatu kwa siku Ila tupo kimya wapenda sifa Kwa kuzaliwa[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa....muache mchagga akawakilishe taifa SpainWeee nawe kama yule chalii ya bukoba mbwembwe nyingi nenda kabisa Irak na tusikuone humu tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kilimanjaro tuna route 5 kwa siku ? Hahaha watu wa bukoba kwa ushamba hamjambo ,Sisi hadi ndege tunamiliki (précision air) nyie mnao huo uwezo?Wangekuwa wao hiyo ya kuongeza ndege kwa route ya Buloba wangekuwa wameshaianzishia uzi. Wanapenda sifa za kukopi[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahsHahaaaa....muache mchagga akawakilishe taifa Spain
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Mpaka aombe poo siyo hahaaaUnaonaje hayo ma mijengo ?
PILI uhayani Hakuna udongo mwekundu? Hiki ni nnn?View attachment 1300480
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa nawamudu ,luambo alikuwa anawapa za uso sasa kwavile yupo busy wacha niwape za uso wakome kabisa kuiga iga wachagaMpaka aombe poo siyo hahaaa
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Sijambo mimi jamani dear!Nakusalimu tu, najua upo busy kipindi hiki cha Christmas na mwaka mpya
Marry Christmas and happy new year princess.
Naamini alipofunga mwaka huu,m wenye enzi Mungu mwakani atapafungua na kupafanyia wepesi.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hiv huwa hujiulizi bukoba kuna nini? Mpaka watu wanapanda ndege hivyo?Mbona kilimanjaro ni route tano kwa wiki? Sasa kati ya 3 za BK na 5 za kilimanjaro Nan zaidi? Hahaha instanbul
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan mnashindwa kukodi mabasi mnapanda vidaladala vya buza kwenda kwenu yaani niliwadharau sanaKilimandjaro ina route 5 kwa siku nyie ndio mmepewa 3 sasa mmetufikia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba hiyo lami imeanzia vijijin sio barabara kuu ama?Hiyo uliyopost siyo ya muleba-rubya
Barabara ya muleba-rubya naifahamu pia haina lami Ila ipo kwenye mpango
Hebu Soma maekezo yaliyo kwenye hiyo picha ulio post imeandwa muleba-rubya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan ni lazima kuwa na daladala za mji.Mnachekesha,Kwan mji kuwa na bajaji Ni kosa? Mbeya zipo,mwanza zipo,dar zipo
Bukoba Ni washamba Sana Ni mji pekee Tanzania usio na daladala za mji
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuwa na attention kwenu Kwa sababu mnashindwa kujipanga mpaka mnapanda midaladala ya buzaDecember wanaoenda kwao Ni wachaga,wengine mnaenda watu watano mnasema mmenda?
Hahaha December nchi nzima inakuwa attention na uchagani pole
Alafu BK Safar za ndege Ni 3 kilimanjaro Ni 5 yaan nyie kwa usafr wa ndege level yenu ni mpanda airport
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie wachaga wenzangu. Mimi ninakuja na boksi lililojaa kadi za CCM wote mliotangulia jiandae kupewa kadi za chama tawala.Wakuu poleni na majukumu, dhumuni la Uzi huu ni kutoa updates mbalimbali za sikukuu ya Krismasi kwa watu waliopo Kilimanjaro, hivyo wale wenye picha mbalimbali mnakaribishwa.
NB: Mimi bado sijafika Kilimanjaro najiandaa na safari ya kutinga Kilimanjaro
Luambo Makiadi
Eindhoven-Netherlands
Sent using Jamii Forums mobile app