Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Sisi hatuna maneno na picha za kudownload mitandaoni. Wachaga mjifunze kitu hapa.

Hapa ni Ruzinga, Kiziba, Missenyi. Ndugu zetu wamekodi basi la Frester kuwatoa Dar kuja kula sikukuu na kuwarudisha Dar! Napiga picha kwa kamera yangu mwenyewe[emoji3][emoji3]

Wachaga kelele nyingi mnabebwa na treni kama mizigo. Umaskini mbaya. Kazi kuokoteza vipicha mitandaoniView attachment 1300331View attachment 1300333

Sent using Jamii Forums mobile app
Umaskini upo kagera maana Ni mkoa wa 11 kwa umaskini, kilimanjaro Ni ya 2 kwa wananchi wake kuwa na maisha Bora
Picha za mtandaoni mbona nyie mnaweka za BUKOBA WADAU ? Kwan unaangalia picha imetoka wapi au unaangalia uhalisia? Umechemka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi hatuna maneno na picha za kudownload mitandaoni. Wachaga mjifunze kitu hapa.

Hapa ni Ruzinga, Kiziba, Missenyi. Ndugu zetu wamekodi basi la Frester kuwatoa Dar kuja kula sikukuu na kuwarudisha Dar! Napiga picha kwa kamera yangu mwenyewe[emoji3][emoji3]

Wachaga kelele nyingi mnabebwa na treni kama mizigo. Umaskini mbaya. Kazi kuokoteza vipicha mitandaoniView attachment 1300331View attachment 1300333

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamuwez kuiga kilimanjaro kbs
Nyie wahaya hampendi kwenu mnaiga kick ya kurudi huhuhuhu hii kitu master Ni wachaga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787] Mie Leo nimeshangaa?? Hizo ndo nyumba nzr vijijin moshi?

Kumbe ndo maana hawataki kupost picha zao.


Mkuu kama uko bk hebu tuma picha tuwatoe ushamba.

Halafu unaskia eti moshi ndan ndan[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema eti?
Karibu uchagani paradiso ya Africa
FB_IMG_15707285916351968.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanavyojisifiaga hapa kama vile wanaendaga kwao peke Yao December .

Hawajui kuna watu wanatumia akili na hela kwenda kwao.


Mi nikionaga mpaka wanapanda coster za buza na kujazana kwenye kuku kwenye treni huwa nazidi kuwadharau hawa wachaga.. Yaan wanashindwa kukodi mabasi kwenda kwao? Jibu ni kwamba wengi na maskini mno KAZI kumiliki vigenge Tu huko kimara[emoji23][emoji23]


Juzi wametangaza kuongeza route za ndege Dar Bukoba kutoka mbili hadi tatu kwa siku Ila tupo kimya wapenda sifa Kwa kuzaliwa[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
December wanaoenda kwao Ni wachaga,wengine mnaenda watu watano mnasema mmenda?
Hahaha December nchi nzima inakuwa attention na uchagani pole
Alafu BK Safar za ndege Ni 3 kilimanjaro Ni 5 yaan nyie kwa usafr wa ndege level yenu ni mpanda airport

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangekuwa wao hiyo ya kuongeza ndege kwa route ya Buloba wangekuwa wameshaianzishia uzi. Wanapenda sifa za kukopi[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kilimanjaro tuna route 5 kwa siku ? Hahaha watu wa bukoba kwa ushamba hamjambo ,Sisi hadi ndege tunamiliki (précision air) nyie mnao huo uwezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakusalimu tu, najua upo busy kipindi hiki cha Christmas na mwaka mpya
Marry Christmas and happy new year princess.
Naamini alipofunga mwaka huu,m wenye enzi Mungu mwakani atapafungua na kupafanyia wepesi.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sijambo mimi jamani dear!
Nashukuru mnooo kwa kweli, nakutakia kheri pia katika kipindi hiki cha kuelekea siku kuu za Christmas na mwaka mpya!

You're missed dear
 
Hiyo uliyopost siyo ya muleba-rubya
Barabara ya muleba-rubya naifahamu pia haina lami Ila ipo kwenye mpango
Hebu Soma maekezo yaliyo kwenye hiyo picha ulio post imeandwa muleba-rubya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba hiyo lami imeanzia vijijin sio barabara kuu ama?


Kwamba barabara ya lami inajengwa vijijin baada ya hapo vumbi mpaka barabara kuu???


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnachekesha,Kwan mji kuwa na bajaji Ni kosa? Mbeya zipo,mwanza zipo,dar zipo
Bukoba Ni washamba Sana Ni mji pekee Tanzania usio na daladala za mji

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan ni lazima kuwa na daladala za mji.

Daladala za nini zinazokaa kwenye vituo saa mbili kama huko moshi!!

Kwanza daladala zilikuwepo na zitarudishwa mwakan meli ikianza kufanya KAZI tena kwenye route zenye uhitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
December wanaoenda kwao Ni wachaga,wengine mnaenda watu watano mnasema mmenda?
Hahaha December nchi nzima inakuwa attention na uchagani pole
Alafu BK Safar za ndege Ni 3 kilimanjaro Ni 5 yaan nyie kwa usafr wa ndege level yenu ni mpanda airport

Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuwa na attention kwenu Kwa sababu mnashindwa kujipanga mpaka mnapanda midaladala ya buza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu poleni na majukumu, dhumuni la Uzi huu ni kutoa updates mbalimbali za sikukuu ya Krismasi kwa watu waliopo Kilimanjaro, hivyo wale wenye picha mbalimbali mnakaribishwa.

NB: Mimi bado sijafika Kilimanjaro najiandaa na safari ya kutinga Kilimanjaro

Luambo Makiadi
Eindhoven-Netherlands

Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie wachaga wenzangu. Mimi ninakuja na boksi lililojaa kadi za CCM wote mliotangulia jiandae kupewa kadi za chama tawala.
 
Back
Top Bottom