instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiv wachagga hu mnarud haswa kufanya nini mwisho wa mwaka na je kuna ulazima kiasi hiko na kama ukikosa nini kitakutokea kama mchagga niko uchaggan mwaka wa 5 sasa hili swali linanitatiza sana?Wakuu poleni na majukumu, dhumuni la Uzi huu ni kutoa updates mbalimbali za sikukuu ya Krismasi kwa watu waliopo Kilimanjaro, hivyo wale wenye picha mbalimbali mnakaribishwa.
NB: Mimi bado sijafika Kilimanjaro najiandaa na safari ya kutinga Kilimanjaro
Luambo Makiadi
Eindhoven-Netherlands
Sent using Jamii Forums mobile app
Moshi huwezi linganisha na huko uswekeni chato anapotoka mzee baba! Moshi ni habari nyingine jombaaa
Mkuu INRI upo hapo
Uwe unatulia Kwanza .
Wahaya sio watu wazuriView attachment 1300828
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kupost nyumba moja na kuirudia kila upande[emoji16][emoji16]View attachment 1300831View attachment 1300832
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhalisia wa bukoba sio kutupistia vivilla vya watu wachacheView attachment 1300833
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo halisi ya bukoba vijijinView attachment 1300834View attachment 1300836
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu ni geti Kali huko vijijin bukobaView attachment 1300837View attachment 1300838View attachment 1300839
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu anabisha?
Maghorofa ni kawaida mno vijijinView attachment 1300840
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahaya mna sifa sana .sasa hiz geti Kali vijijin za niniView attachment 1300844View attachment 1300845View attachment 1300846
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Tabia ya mageti vijijin sijui ndo usomi?View attachment 1300847
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio vzr nshomile kuweka mageti Kali vijijinView attachment 1300848
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati watu wanakimbizana kwenye nyumba za tembe huko Tanzania .watu wanaweka mageti ya umeme vijijin !!!
Nshomile Mungu anawaonaView attachment 1300849
Sent using Jamii Forums mobile app
Marudio, Afu Bukoba kunatisha sijui kwanini? Ndio maana hata Ali mufuruki hakutaka kuzikwa Huko.Magufuli mwenyewe anajua mna uwezo nyie nshomile ndo maana mlipopata maafa aliipeleka serikalin pesa mliochangiwa.
Akipaangalia bukoba akalinganisha na chato aliona huo usenge kuwajengea nyumba watuView attachment 1300850View attachment 1300851
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kuna Tabia imezuka kila mtu geti Kali [emoji16][emoji16]Marudio, Afu Bukoba kunatisha sijui kwanini? Ndio maana hata Ali mufuruki hakutaka kuzikwa Huko.
Uzuri wa Moshi kila mtu akipita hapa anasifia kweli ni Ulaya.
Bukoba kupo kama Ukiwa, Wazungu wanaogopa kuja kama huku kwetu Marangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Bukoba kunatisha sijui kwanini.Kwa kweli unautendea haki Uzi.
Picha zipo clear, sio za wakina flan picha zina ukungu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa picha hizi za kudownload jamiiforums kila siku?Huku kuna Tabia imezuka kila mtu geti Kali [emoji16][emoji16]
Wahaya wanapenda sifa Sana aisee.
Ila hiz sifa zinasaidia [emoji16][emoji16] ona VijijinView attachment 1300865
Sent using Jamii Forums mobile app