instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Mmekimbilia kwenye kutisha tena nyumba hazionekani tenaYaani Bukoba kunatisha sijui kwanini.
Ulisikia Obama aliomba kupata eneo moshi alipokuja kwenye Tour?
Ni kwasababu moshi kuna mandhari ya kuvutia sana, watalii hawakauki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nan anasema vijijin hakuna lami?
Sent using Jamii Forums mobile app