Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Afu nimegundua tunajishusha sana kuleta ligi hapa Tanzania, level zetu ni Amazon na Asia huko.

#Lake chala, Moshi.View attachment 1300947

Sent using Jamii Forums mobile app
Massawe tukapige tungi wapi Leo?View attachment 1300953

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]mtu kakosa nyumba za watu kaanza kupost madimbwi humu.

Mkuu labda nikupe lake burigi iko karibu na chato huko
Screenshot_20191223-092126.jpeg
Screenshot_20191223-092139.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukileta picha za Hotel utaomba Pooh!

Afu wahaya mnaushamba wa kupaka rangi rangi vibanda vyenu kama sio wasomi. Ndio maana wazungu hawaji huko. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hayo mabanda tunafugia sungura na Nguruwe.

Unajua ng'ombe Uchaggani wanalala kwa umeme na nyumba ya block? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti eh


We baada ya kupost nyumba unapost bustan za lodge na vihotel [emoji23][emoji23]

Nyumba ziko wap



Ona watu wa kawaida huko vijijin
tapatalk_1577073700151.jpeg
tapatalk_1577073634723.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukileta picha za Hotel utaomba Pooh!

Afu wahaya mnaushamba wa kupaka rangi rangi vibanda vyenu kama sio wasomi. Ndio maana wazungu hawaji huko. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hayo mabanda tunafugia sungura na Nguruwe.

Unajua ng'ombe Uchaggani wanalala kwa umeme na nyumba ya block? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndolage huko
tapatalk_1577073639052.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti eh


We baada ya kupost nyumba unapost bustan za lodge na vihotel [emoji23][emoji23]

Nyumba ziko wap



Ona watu wa kawaida huko vijijinView attachment 1300963View attachment 1300964

Sent using Jamii Forums mobile app
Endeleen kupost bustan na villogde vya wapanda mlima.

Huku vijijin shobo zimepunguzwa Sana

View attachment 1300969View attachment 1300971View attachment 1300972

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna picha zingine zaidi ya hizi unazo download Jamiiforums-kila ukiletwa uzi wa Wachagga? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kwanini mnateseka na moshi enyi nyie wapenda Katerero?

Vipi umasikini umeshapungua? Ndio maana mmekuwa wakimbizi mikoa ya watu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INRI bwana unachekesha. Hivi wewe ulishwahi kuona picha zinapigwa zinajisevu kwa hayo majina yako. Eti picha imeseviwa "Makundi home" Achabkuokoteza picha fb mnaziedit majina[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Zinatumwa group, "MOSHI NI KWETU". mtu akipiga picha huwa ana uwezo wa kurename ili kukumbuka location ya picha, una lingine?

Au unakataa hapo sio kijijini Marangu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muache tu nami nakuja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena Leo ndo umepost hicho kitu ambacho huwa nakiona uchaggan kisehemu kidogo hapo marangu chenye nyumba zinazofanana cha kina shayo na makundi chenye bustan nzr na kule machame Kwa kina Mengi plus kale Ka mission Ka kibosho ndo uona wameendelea Sana na nyumba Bora kijijin[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nyie watu mna utan Sana .

Mzee Baba nakuja muda si mrefu kaa hapohapo.


Yaan unapost kajumba kamoja???

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi mashamba baba?? Eti kijijini huku. Hebu funga data ukalale hujui kazi yako[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una uono hafifu wa macho? Huoni mlima Kilimanjaro kwenye background? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

In case you didn't know, hapa ni Marangu, TTC kama unaelekea National Park.

Relax, ukiambiwa kwetu Ulaya tunamaanisha.

Karibu uje usafishe macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna picha zingine zaidi ya hizi unazo download Jamiiforums-kila ukiletwa uzi wa Wachagga? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Kwanini mnateseka na moshi enyi nyie wapenda Katerero?

Vipi umasikini umeshapungua? Ndio maana mmekuwa wakimbizi mikoa ya watu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv Kati ya wachaga na wahaya ni wap wamekuwa wakimbizi[emoji23][emoji23][emoji23]

Kagera una watu million tatu na ukiwa na idadi kubwa ya watu wanaoishi vijijin kuliko mkoa wowote ule.

Mkoa Una low rural urban migration kuliko mkoa wowote ule.


Hiv hawa watu milion tatu wote huishi bukoba mjini? Kimji chenye watu laki tatu Tu.


Kagera ni mkoa wa tatu Kwa idadi ya watu nchini baada ya Dar na mwanza.

Na ndo wanaishi kwenye nyumba hizo unazoziona vijijin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu picha zako nyingi ulizopost nina vyanzo vyake nakusitiri tu. Au nizi screenshot nizitume hapa?? Wachaga kwa nini msipige picha kwa simu zenu huko vijijini mnakimbilia mitandaoni kuna shida gani??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. instanbul

Picha zote ulizoleta ni marudio ya post za nyuma.

Afu kama mmegundua Bukoba kunatisha, Hapavutiii ndio maana wazungu wanaogopa kuja tofauti na Ulaya ya moshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mara 100 hata mkuu instanbul amezitoa kwenye post za nyuma ambazo tuliwahi kuzipiga kwa kamera zetu na kuzituma sisi wenyewe hapa JF kuliko kitendo mnachofanya nyinyi na kuziedit majina. Ushamba. Hii inaonesha hamna maajabu ya kutuonesha mna kelele tu. Nimewadharau sana kuanzia leo. Mfyuuu[emoji57][emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom