Afu nimegundua tunajishusha sana kuleta ligi hapa Tanzania, level zetu ni Amazon na Asia huko.
#Lake chala, Moshi.View attachment 1300947
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]mtu kakosa nyumba za watu kaanza kupost madimbwi humu.
Eti ehTukileta picha za Hotel utaomba Pooh!
Afu wahaya mnaushamba wa kupaka rangi rangi vibanda vyenu kama sio wasomi. Ndio maana wazungu hawaji huko. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo mabanda tunafugia sungura na Nguruwe.
Unajua ng'ombe Uchaggani wanalala kwa umeme na nyumba ya block? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndolage hukoTukileta picha za Hotel utaomba Pooh!
Afu wahaya mnaushamba wa kupaka rangi rangi vibanda vyenu kama sio wasomi. Ndio maana wazungu hawaji huko. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hayo mabanda tunafugia sungura na Nguruwe.
Unajua ng'ombe Uchaggani wanalala kwa umeme na nyumba ya block? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibosho ndio kwetu.
Merry Christmas.
Wahaya nawaona mnavyohaha . [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1300681
Sent using Jamii Forums mobile app
Achabkuokoteza picha fb mnaziedit majina[emoji3][emoji3][emoji3]Hawa kina Makundi wana estate hatari Marangu mpaka Heliport.View attachment 1300685
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti eh
We baada ya kupost nyumba unapost bustan za lodge na vihotel [emoji23][emoji23]
Nyumba ziko wap
Ona watu wa kawaida huko vijijinView attachment 1300963View attachment 1300964
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna picha zingine zaidi ya hizi unazo download Jamiiforums-kila ukiletwa uzi wa Wachagga? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Endeleen kupost bustan na villogde vya wapanda mlima.
Huku vijijin shobo zimepunguzwa Sana
View attachment 1300969View attachment 1300971View attachment 1300972
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinatumwa group, "MOSHI NI KWETU". mtu akipiga picha huwa ana uwezo wa kurename ili kukumbuka location ya picha, una lingine?INRI bwana unachekesha. Hivi wewe ulishwahi kuona picha zinapigwa zinajisevu kwa hayo majina yako. Eti picha imeseviwa "Makundi home" Achabkuokoteza picha fb mnaziedit majina[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Old song.Kuna mtu anataka kulia hapa.
Kazi kutupostia vidimbwi Chala eti ziwa na bustan za wapanda mlima.
Leta nyumba kama hiz .
Ila siku hiz wahaya sifa wameacha naona wamewaambukiza.View attachment 1300973
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiuliza kabila lenye makazi bora, jibu ni moja WACHAGGA.View attachment 1300690
Sent using Jamii Forums mobile app
Marudio.Maghorofa ya watu kawaida vijijin bukobaView attachment 1300974View attachment 1300975
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena Leo ndo umepost hicho kitu ambacho huwa nakiona uchaggan kisehemu kidogo hapo marangu chenye nyumba zinazofanana cha kina shayo na makundi chenye bustan nzr na kule machame Kwa kina Mengi plus kale Ka mission Ka kibosho ndo uona wameendelea Sana na nyumba Bora kijijin[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie watu mna utan Sana .
Mzee Baba nakuja muda si mrefu kaa hapohapo.
Yaan unapost kajumba kamoja???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una uono hafifu wa macho? Huoni mlima Kilimanjaro kwenye background? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapi mashamba baba?? Eti kijijini huku. Hebu funga data ukalale hujui kazi yako[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv Kati ya wachaga na wahaya ni wap wamekuwa wakimbizi[emoji23][emoji23][emoji23]Huna picha zingine zaidi ya hizi unazo download Jamiiforums-kila ukiletwa uzi wa Wachagga? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kwanini mnateseka na moshi enyi nyie wapenda Katerero?
Vipi umasikini umeshapungua? Ndio maana mmekuwa wakimbizi mikoa ya watu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kupost nyumba moja na kuirudia kila upande[emoji16][emoji16]View attachment 1300831View attachment 1300832
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi Tu siko bukoba.
Mara 100 hata mkuu instanbul amezitoa kwenye post za nyuma ambazo tuliwahi kuzipiga kwa kamera zetu na kuzituma sisi wenyewe hapa JF kuliko kitendo mnachofanya nyinyi na kuziedit majina. Ushamba. Hii inaonesha hamna maajabu ya kutuonesha mna kelele tu. Nimewadharau sana kuanzia leo. Mfyuuu[emoji57][emoji57][emoji57][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. instanbul
Picha zote ulizoleta ni marudio ya post za nyuma.
Afu kama mmegundua Bukoba kunatisha, Hapavutiii ndio maana wazungu wanaogopa kuja tofauti na Ulaya ya moshi.
Sent using Jamii Forums mobile app