Marudio, Afu Bukoba kunatisha sijui kwanini? Ndio maana hata Ali mufuruki hakutaka kuzikwa Huko.
Uzuri wa Moshi kila mtu akipita hapa anasifia kweli ni Ulaya.
Bukoba kupo kama Ukiwa, Wazungu wanaogopa kuja kama huku kwetu Marangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa picha hizi za kudownload jamiiforums kila siku?
Ujue watu wanakucheka? Na wanapita bila comment kwasababu wameziona kila nyuzi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Takaka hii, Angalia Lami Grade ya Kwanza Kijijini.
Kaka huoni Aibu kabisa unachopost?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1300872
Sent using Jamii Forums mobile app
I'will give you a path if you open for few second or you may send yours (Private) to follow.Morning
Twitani nakupataje mimi jamani
NotedI'will give you a path if you open for few second or you may send yours (Private) to follow.
Morning princess,
Emu Toa upupu wako hapa.[emoji23][emoji23][emoji23]mtu kakosa nyumba za watu kaanza kupost madimbwi humu.
Mkuu labda nikupe lake burigi iko karibu na chato hukoView attachment 1300958View attachment 1300960
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha zote zimepigwa kwa camera ya simu au hizo fresh unataka ziweje?
Takaka hii, Angalia Lami Grade ya Kwanza Kijijini.
Kaka huoni Aibu kabisa unachopost?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1300872
Sent using Jamii Forums mobile app
Imepenya Hiyoooo!Umejisahau na nyingine umezitoa kwenye uzi huu huu na ukazi rename. Natangaza rasmi wachaga hamna kitu cha kutuonesha huko kwenu. KELELE TU
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Haina kutumia nguvu nyingi. Nyie tushawatoa kwenye reli[emoji3][emoji3]
Nimetoka kukata ndizi shambani karibu tukuleView attachment 1301009
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkisikia kuna chama kule moshi kinachanga pesa kwa maendeleo ya vijijini kutengeneza miundombinu muelewe.
Lami hadi vichochoroni.
Kama nawaona ndugu zangu mnavyomezea mate.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1301051View attachment 1301052View attachment 1301053
Sent using Jamii Forums mobile app