Kaina
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 380
- 326
Blaza tushakataa kabobo nyingi nenda kwenu kapige picha achana na picha za kutafutia nyuma ya keybord. Mfyuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Marudio, Afu Bukoba kunatisha sijui kwanini? Ndio maana hata Ali mufuruki hakutaka kuzikwa Huko.
Uzuri wa Moshi kila mtu akipita hapa anasifia kweli ni Ulaya.
Bukoba kupo kama Ukiwa, Wazungu wanaogopa kuja kama huku kwetu Marangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app