Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Asanteeeeeee
Nakosa uhondo maana Leo naenda Spain naenda na ndege ya usiku
Nashukuru mnaniwakilisha vyema hapa endelea kumimina mapicha Hadi wale wala senene wapotee

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Nashukilia uskani kwa sasa mkuu.

Hawa waache wafukuzane na senene wakati tunapanga mikakati mikubwa kwa mwaka mpya.

Hawajui Wachagga tuna Maduka hadi Ulaya, London na Los Angeles marekani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan mnashindwa kukodi mabasi mnapanda vidaladala vya buza kwenda kwenu yaani niliwadharau sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli haunazo
Daladala ziliokoa jahaz tu maana mabasi yote yalikuwa full,ma private cars yote full,ndege full,treni full tinapenda nyumban hatujasahau nyumban Kama nyie wayoza
Yaan December dunia nzima inaitazama Moshi check kitu hii
Bukoba kunaweza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moshi daladala zinapeleka watu shambani,usafiri mkuu mjini Ni Noah DK 5 imeshaamsha ROMBO, machame,sanya nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwa na attention kwenu Kwa sababu mnashindwa kujipanga mpaka mnapanda midaladala ya buza

Sent using Jamii Forums mobile app
Daladala zinaokoa jahaz maana kwa mahaba ya wachaga kwenda nyumbani,sio ndege,basi,magari binafsi,treni vyote vinakuwa full
Serikali miezi hii karibu nusu ya mapato inayapatia kilimanjaro [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…