Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Lami zao chache wamejengewa juz
Wakati kule uchagani lami zipo tangu enzi hahaha hawa watu ni wanafunz wetu kila idara

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana kitu cha kutisha.

Uliwahi sikia mtu asiye muhaya anaenda kula Christmas huko porini kwao?

Makabila mengi wanapenda kuongozana na Wachagga kula bata maana ni ulaya. Huwa wanatamani kubaki au kununua ardhi ila ni ngumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna cha maana huko zaidi ya kutambikia mizimu na kutoa makafara kwa ajili ya biashara yako! Sikukuu ni popote!
 
Back
Top Bottom