Monchengladbach
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 703
- 514
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@kaina hakawii kusema hapo ni marekaniMkisikia kuna chama kule moshi kinachanga pesa kwa maendeleo ya vijijini kutengeneza miundombinu muelewe.
Lami hadi vichochoroni.
Kama nawaona ndugu zangu mnavyomezea mate.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1301051View attachment 1301052View attachment 1301053
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna barabara kuu hapo zote Ni za local mtasema yote Leo mmenasa kwenye 18 za wachagaKuna watu wameanza kupost barabara kuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyumba zimeisha
Uhayani kila mtu anajengwa kijijin kwakeView attachment 1301310View attachment 1301311View attachment 1301312
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona @kaina,sundoka wanazikataa wanasema eti wanataka kuona umepiga kwa simu Yako mwenyewe?Hata zikiwa bukoba Yao .bado ni za bukoba Tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwan si zimepigwa bukoba [emoji2]
Mkuu hilo ni povuView attachment 1301316View attachment 1301317
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaSasa hiyo lami au vumbi mawe?
Lami ni hizi.
Hamna viwango, umasikini na NGONO ndio mnatushinda. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1301332View attachment 1301333View attachment 1301334
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaga mmetisha hii sasa sifaChristmas Wachagga mliopo Marangu tukasali Mamba, Kotela kwa wa Lutheran.View attachment 1301362View attachment 1301363
Sent using Jamii Forums mobile app
Christmas Wachagga mliopo Marangu tukasali Mamba, Kotela kwa wa Lutheran.View attachment 1301362View attachment 1301363
Sent using Jamii Forums mobile app
Msishangae ndio makanisa yetu vijijini hayo.View attachment 1301368
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia, tukasali kanisa letu la hapa Marangu, mboni.View attachment 1301364
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili kanisa moja Lina thamani ya makanisa yote yaliopo moshi.Ibada ya Christmas ni muhimu, tusiache kwenda kanisani.View attachment 1301378View attachment 1301379
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeanza kutupostia vichaka hapa baada ya kuishiwa nyumba[emoji1787][emoji1787]Hii ndio maana ya kuwa msomi.
Tunaelewana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1301387
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona uliamua kukimbilia kabisa kwenye nchi za watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asanteeeeeee
Nakosa uhondo maana Leo naenda Spain naenda na ndege ya usiku
Nashukuru mnaniwakilisha vyema hapa endelea kumimina mapicha Hadi wale wala senene wapotee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo ndo nyumbani kabisa Kwa nyuma maeneo ya bukoba vijijinAcha wafe maana hivi vijiji ni ulaya, wazungu wanabadilisha uraia kuishi Marangu, Machame, Kibosho, Rombo, Uru na Old moshi.
Huko Bukoba labda ukute Mzungu koko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip mlishaacha kupanda daladala za buza kwenda sikukuu moshi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nyumba vijijin ziko wap?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nashukilia uskani kwa sasa mkuu.
Hawa waache wafukuzane na senene wakati tunapanga mikakati mikubwa kwa mwaka mpya.
Hawajui Wachagga tuna Maduka hadi Ulaya, London na Los Angeles marekani?View attachment 1301414
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumewatoa baru mmekimbia sasa hv tunajipongeza kwa bia
Mna huo uwezo nyie maskini wa kihaya?View attachment 1301477
Sent using Jamii Forums mobile app
Maskin.Wewe kweli haunazo
Daladala ziliokoa jahaz tu maana mabasi yote yalikuwa full,ma private cars yote full,ndege full,treni full tinapenda nyumban hatujasahau nyumban Kama nyie wayoza
Yaan December dunia nzima inaitazama Moshi check kitu hii
Bukoba kunaweza?View attachment 1301413
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti ulikuwa buganguzi.Barabara inayoanzia pale muleba mjini kwenda rubya haina lami hiyo ndio mantiki ya luambo,mm pia hiyo barabara naijua mno juzi Kati nilikuwa buganguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip mlishaacha kupanda daladala za buza kwenda sikukuu moshi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wap daladala hazipeleki watu mashamban?Moshi daladala zinapeleka watu shambani,usafiri mkuu mjini Ni Noah DK 5 imeshaamsha ROMBO, machame,sanya nk
Sent using Jamii Forums mobile app