Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tena Leo ndo umepost hicho kitu ambacho huwa nakiona uchaggan kisehemu kidogo hapo marangu chenye nyumba zinazofanana cha kina shayo na makundi chenye bustan nzr na kule machame Kwa kina Mengi plus kale Ka mission Ka kibosho ndo uona wameendelea Sana na nyumba Bora kijijin[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nyie watu mna utan Sana .

Mzee Baba nakuja muda si mrefu kaa hapohapo.


Yaan unapost kajumba kamoja???

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha umepanic kwamba hapo alipooost Ni nyumba chache?
Hapo tume test mitambo tukiweka za rombo, Machame,mamba,, mwika, kilema si utajinyea? Ukibisha tunaleta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv wachagga hu mnarud haswa kufanya nini mwisho wa mwaka na je kuna ulazima kiasi hiko na kama ukikosa nini kitakutokea kama mchagga niko uchaggan mwaka wa 5 sasa hili swali linanitatiza sana?
Ni heshima kurudi nyumbani,tunakutana na WADAU na kubadilishana mawazo hasa ya kimaendeleo
Na kupanga malengo ya mwaka unaofuata hii ndio Siri ya wachaga kuongoza kwa maendeleo tangu enzi za mjerumani hadi leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emu Toa upupu wako hapa.

Unajua wahaya mna ugonjwa kitaalamu tunaita Schizophrenia and Narcissism?

Sasa hilo bonde la maji linavyotisha nani atakuja huko? Utadhani jehanum ya majini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Funga macho uone, Crater lake Chala, Moshi, The garden of Eden.

Jishitukie bhasi, ukiona Obama anaomba Ardhi Moshi, kuna kitu alikiona.View attachment 1300988View attachment 1300989View attachment 1300990View attachment 1300991View attachment 1300992View attachment 1300993View attachment 1300994View attachment 1300995

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji7][emoji7]

Ni Tanzania hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Bukoba kunatisha sijui kwanini.

Ulisikia Obama aliomba kupata eneo moshi alipokuja kwenye Tour?

Ni kwasababu moshi kuna mandhari ya kuvutia sana, watalii hawakauki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mzungu mtu wa uholanzi aligoma kabisa kuondoka Moshi akaoa mmarangu, alisema wakimtoa Moshi atajiua Moshi patamu bhana kwanzia mjini Hadi vijin
#Visit moshi#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom