Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Hahahaha umepanic kwamba hapo alipooost Ni nyumba chache?
Hapo tume test mitambo tukiweka za rombo, Machame,mamba,, mwika, kilema si utajinyea? Ukibisha tunaleta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv wachagga hu mnarud haswa kufanya nini mwisho wa mwaka na je kuna ulazima kiasi hiko na kama ukikosa nini kitakutokea kama mchagga niko uchaggan mwaka wa 5 sasa hili swali linanitatiza sana?
Ni heshima kurudi nyumbani,tunakutana na WADAU na kubadilishana mawazo hasa ya kimaendeleo
Na kupanga malengo ya mwaka unaofuata hii ndio Siri ya wachaga kuongoza kwa maendeleo tangu enzi za mjerumani hadi leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji7][emoji7]

Ni Tanzania hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Bukoba kunatisha sijui kwanini.

Ulisikia Obama aliomba kupata eneo moshi alipokuja kwenye Tour?

Ni kwasababu moshi kuna mandhari ya kuvutia sana, watalii hawakauki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mzungu mtu wa uholanzi aligoma kabisa kuondoka Moshi akaoa mmarangu, alisema wakimtoa Moshi atajiua Moshi patamu bhana kwanzia mjini Hadi vijin
#Visit moshi#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…