Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Daladala zinaokoa jahaz maana kwa mahaba ya wachaga kwenda nyumbani,sio ndege,basi,magari binafsi,treni vyote vinakuwa full
Serikali miezi hii karibu nusu ya mapato inayapatia kilimanjaro [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida hamna hela na wala ubavu wa kutoa hela na Pia ni mabahili mno ndo maana mnakimbilia kupanda daladala za buza [emoji23][emoji23][emoji23]


Yaan mnashindwa kuweka order mapema ya bus moja matata mkakodi mkaenda moshi??

Watu wanakodi hizo frester tatu kutoka Dar bukoba nyie mnashindwa hizo km 409

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa break kidogo Hedaru kuchimba dawa. Siwezi danganya bila sababu yoyote. Unayoiona ni milima ya Pare kama Geography uliipitia kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tuna asili ya Wazungu ndugu tunasave then after 12months tunakwenda vacation kijijini. Wazungu wanasave 3years Akija anakaa Africa 2months tunajua ni tajiri kumbe malengo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wako wanatupostia madimbwi hapa[emoji23][emoji23][emoji23] eti sijui Chala[emoji1787][emoji1787]

Hiv wanajua uhayani kuna maziwa mangap ukitoa Victoria?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…