instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Shida hamna hela na wala ubavu wa kutoa hela na Pia ni mabahili mno ndo maana mnakimbilia kupanda daladala za buza [emoji23][emoji23][emoji23]Daladala zinaokoa jahaz maana kwa mahaba ya wachaga kwenda nyumbani,sio ndege,basi,magari binafsi,treni vyote vinakuwa full
Serikali miezi hii karibu nusu ya mapato inayapatia kilimanjaro [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan mnashindwa kuweka order mapema ya bus moja matata mkakodi mkaenda moshi??
Watu wanakodi hizo frester tatu kutoka Dar bukoba nyie mnashindwa hizo km 409
Sent using Jamii Forums mobile app