Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Maji ya bomba? Uchagani tumezaliwa nayo
Umeme tangu 1980's na unatoka kule kule kilimanjaro (nyumba ya Mungu) kilimanjaro hatujui REA wakati kagera wananchi wenye umeme ni 40% tu
Kilimandjaro 90% ya wananchi Wana umeme na bomba upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na teknologia ya asili ya kukamata senene.View attachment 1301686

Sent using Jamii Forums mobile app
Blah Blah blah.

Tuleteeni jengo lenye hadhi ya mengi.

Maana hatuoni chaajabu mpaka saivi.

Ebu pekua pekua hata yule mama wa vijisenti kama ana nyumba bhasi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Mengi Rest in Peace. Uliweza kuwaonesha hawa zarau mdomo kwamba Wachagga hatuna show off nyumba tumeijua baada ya umauti.

Hakuna Mkoa mzima, zunguka kote utakuta Hekalu hili.

R.I.P MENGI BABA LAO.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha ziko wap[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwan hamna simu nyie.

Hebu angalia hii picha vzr dawa ikuingie vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
instanbul

Ali mufuruki, ikowapi nyumba yake huko kijijini?

Utawaambia nini watu wanaona Hekalu la Mengi hatuoni kitu huko Bukoba zaidi ya mabanda, marekani wanaita Slums? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachaga wote zaidi ya million tatu huishi kwenye nyumba ya mengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwao kumejaa vilodge tu.na wengine wamejazana huku kimara[emoji23][emoji23] ukiwaona kwenye mwendokasi sasa walivyobanana kama kuku.

Huku wakisubiri mwezi wa kumi na mbili kupanda daladala za buza na treni za 1980 kwenda moshi kutambika na kuongeza vichaa kule uru[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada wa kihaya wamejaa Buguruni na Mwananyamala kuuza Nyapu maana Takwimu zimetaja Kagera ni Mikoa inaongoza kwa Umasikini.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana mnampenda Sana mufuruki.

Anyway inaonekana ndo tycoon pekee la kihaya mnaemjua[emoji1787][emoji1787]

Maana mlivyomganganiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengi ni Icon ya Wachagga, pia Tanzania.

Tunataka tuone Icon wa Kihaya, Nyumba yake huko kijijini

Au ndio maneno matupu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…