INRI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,324
- 2,319
Huyu mama mbona anaishi banda la ng'ombe? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maji ya bomba mpaka vijijin huko uhayani.
Wachaga mpo??? Na porojo zenu?
Kumbe uko unachungulia kimya kimya[emoji23][emoji23][emoji23]
Ingekuwa unajua kuwa karagwe ndo inaongoza kulima kahawa na ndizi usingepost vitafiti vyako[emoji1787]View attachment 1301681
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app