Monchengladbach
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 703
- 514
Wachaga acheni sifa kwanini mnajenga mahekalu vijijin?We ni mtu wa porojo Tu.
Hawa nshomile siwaelewi kabisa.
Cheki hiz nyumbaView attachment 1301730
Sent using Jamii Forums mobile app
Parokia ya kawaida tu huko uchaganiTulia wew dawa ikuingie.
Hio ni parokia.
Sorry naomba cathedral ya moshi Ile ya kristu mfalme tulinganishe na bukoba [emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 1301736
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu kaamua afanye sherehe kabisa.Wachaga acheni sifa kwanini mnajenga mahekalu vijijin?View attachment 1301741
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdada wa kihaya ana Tako la Sanchi?Ya uzuri wa nyumba Choo ?
Yaan huko unakutana demu Sura Hana,tako Hana miguu ya spoku yaan da!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri Cathedral ya moshi[emoji23][emoji23][emoji23] Ile ya kristu mfalme
Halafu unasema wadada wa kihaya Malaya???Kuna mdada wa kihaya ana Tako la Sanchi?
In case you didn't know, Ni mchagga from Rombo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba yake ikowapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Acha kumsingizia Mzee Mufuruki!!!
Huyo hapo akiwa huko kwao katerero bukoba vijijin
Na huyo ndo mama yake.
Anyway muache apumzike Kwa Amani na nilishakwambia amezikwa kiislamu sio kitamaduniView attachment 1301731
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za hivi ni za mashaka. Tupe side view kama tunavyofanya.
Ndio nini hebu ona makanisa yetu vijijini.Tulia wew dawa ikuingie.
Hio ni parokia.
Sorry naomba cathedral ya moshi Ile ya kristu mfalme tulinganishe na bukoba [emoji23][emoji23][emoji23] View attachment 1301736
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuoni migombani na miti.
Amekosa picha analeta Hotel huyu
Sasa unaleta picha za mijini afu hazifikii hata chembe kwa nyumba ya BABA LAO MENGI.Huyu kaamua afanye sherehe kabisa.
Wahaya na sifaView attachment 1301744
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] wachaga hawaamini macho Yao .Picha za hivi ni za mashaka. Tupe side view kama tunavyofanya.
Unaleta picha za mjini bro? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app