Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

Eti hakuna mkoa..... [emoji23][emoji23]

Hiv ulishawah fika bukoba vijijin,muleba na misenyi huko bila kusahau karagwe?

Mzee Baba tembea uone siku hiz mmezidi wahaya Kwa sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha pia takwimu za serikali zinatutanabaisha kuwa 90% ya Wana kilimanjaro wanaishi maisha Bora (include nyumba) kwahyo hatusemi tu bila evidence

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu hasa wachaga waliona barabara ya kuelekea Kwa kina Ruge ikichongwa huko bukoba vijijin wakajinadi kwao kuna lami mpaka milangon[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli asilimia kubwa ya barabara za kawaida za vijin huko uchagani Zina lami,sio highway
Mfano
Hilo marangu,marangu mwika,kilema,machame Kibosho,uru ,nk
Hata ambazo hazina lami zina moramu na zinapitika
Wana kilimanjaro Wana juhudi kubwa Sana yaan wanajitoa Sana kuchangia
Vunjo pekee wananchi walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za jimbo hii kitu haipo popote Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa hakuna kanda iliyolala ila wanafanya mambo yao kimya kimya. Kuna siku mtajikuta maskini wa kutangatanga, tulia Tanzania ni kubwa
Tanzânia nzima tupo
Hakuna sehemu yoyote tz utamkosa mchaga kwahyo haitakaa itokee tukazidiwa maendeleo,tangu lini mwnafunz akamzidi mwalimu?
Takwimu zinatuambia kuwa kilimanjaro 90% wanaishi maisha bora ni mkoa wa pili baada ya dar
Kule vunjo wananchi walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za jimbo,Ni wapi TANZANIA wananchi Wana ubavu huo? Hatuwezi kutetereka tunazidi kupaa kimaendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umelewa rubisi? Kwan hizo picha sio za vijijin huko uchagani ? Hilo ghorofa Ni la kuishi watu lipo rombo vijin huko au ulidhani ni hôtel? Hahaha Kilimandjaro 90% makazi ni Bora kwa mujibu wa takwimu
Sasa unabishana na takwimu?
Njoo ule nyama najua una njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Luambo makiadi umechanganya UCHAGA na UHAYA?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha pia takwimu za serikali zinatutanabaisha kuwa 90% ya Wana kilimanjaro wanaishi maisha Bora (include nyumba) kwahyo hatusemi tu bila evidence

Sent using Jamii Forums mobile app
We hujui serikali hii Kwa kupika takwimu[emoji23].

Mkuu leta picha Kwa sababu Mie nikifika moshi Sion hayo maendeleo.

Kuna umaskin mkubwa huko migombani we Acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika kwamba hakipo popote tz.

Hata bukoba vijijin barabara za vijijin zina lami

Mfano muleba to rubya.kamachumu to muhutwe ,katoma, katerero to kanazi, maruku nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti hakuna mkoa..... [emoji23][emoji23]

Hiv ulishawah fika bukoba vijijin,muleba na misenyi huko bila kusahau karagwe?

Mzee Baba tembea uone siku hiz mmezidi wahaya Kwa sifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa makazi , hakuna mkoa unaofikia kilimanjaro , mie bimkubwa anatokea marangu,...napaitaga masaki ya kilimanjaro , ndani ndani huko ghorofa zimejaa , hadi nyumba ya mwsho inayopaka na msitu wa kilimanjaro, hao jamaa nyoko sana, wamejenga sio kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…