instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Kuna watu hasa wachaga waliona barabara ya kuelekea Kwa kina Ruge ikichongwa huko bukoba vijijin wakajinadi kwao kuna lami mpaka milangon[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii vunjo wadau wamechanga grader muda huu linasawazisha barabra za kuingia majumbani.Raha sanaView attachment 1297199
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app